Dawa za kuongeza maumbile

Dawa za kuongeza maumbile

Habari wadau, naombeni msaada kwa yeyote anaefahamu dawa za kuongeza maumbile ya kiume naomba anisaidie lakini ziwe dawa za asili.

Au kama ulisha wahi kutumia dawa hizo na zikakupatia matokeo tafadhali naomba nisaidie.
Acha mahangaiko, kama una kibamia tafuta kabinti kadogo cha size yako...au atayemudu kakibamia

Hizo dawa hata kama zipo zitakuharibu
 
Watu hua mnajua kutafuta kutapeliwa jamani.. khaa! We jamaa utakua una hela za kuchezea si bure. Sasa hapa ukipigwa tukio kweli utalalamika?
 
Back
Top Bottom