Dawa za kuongeza urefu

Dawa za kuongeza urefu

Mkuu mbona wewe mrefu? Kuna Zakayo lara 1 anahangaika kila siku awe mrefu. Jivunie ulivyo
 
Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze
Mzee tafuta mahala ambapo yanapatikana madodoki ya mwendokasi jichanjie! Utakuwa mrefu ndugu kadili ya dodoki linavyokuwa! Zoezi jema la kuwa mrefu.
 
Mkuu muulize Lionel Messi wa Barcelona atakusaidia kwani naye inasemekana alipokuwa mtoto alikuwa mbilikomo wa kufa mtu lakini akapewa Hormones za kumsaidia kuongeza kimo chake.
 
Back
Top Bottom