Dawa za kuongeza urefu

Dawa za kuongeza urefu

Ufupi sio ugonjwa ila kama kwako ni ugonjwa tafuta fuso tani 7 mbili, zifunge kamba nyuma kila moja, moja ielekee kushoto nyngine kulia, funga kamba moja shingoni na kamba ya fuso nyingine funga miguuni yote miwili ili usije kurefuka nusunusu, wambie madereva wawashe na waondoke kwa kasi utarefuka.
 
Duh
 
Duh so poa[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji1]
 
Kachanjie mti unaitwa mkisha, unatoa matunda kama madodoki , sasa unatafuta tunda changa unachanjia hapo alafu unaondoka, basi lile tunda libavyo kuwa na machine yako inaongezeka, ikifika kiwango ukitakacho basi unaenda kulikata,

Angalizo
Uwe makini unapo chanjia,

Uwe na kumbukumbu na tunda hilo lilipo, ikiwezekana liweke alama ,
 
Achana na mademu wa MMU wanaojifanya wanapenda wanaume warefu wakati kiukweli wote wanapenda wanaume wenye pesa!
 
Cha msingi kodi bodaboda 2 funga mikono yote kwa uwiano ulio sawa na miguu pia,miguu ktk bodaboda moja na mikono ktk bodaboda nyingine kila itaenda ktk ueleo wake kask.na kus. Wakichochea moto kwa muda wa mwezi mmoja tu,nategemea mwezi was pili utatafutwa na NBA kama thabeet
 
Unataka urefu saizi gani maana kuna vipimo tofauti kuanzia vya panya ,farasi,punda na mpaka vya tembo ni pochi lako tu mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom