Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhUfupi sio ugonjwa ila kama kwako ni ugonjwa tafuta fuso tani 7 mbili, zifunge kamba nyuma kila moja, moja ielekee kushoto nyngine kulia, funga kamba moja shingoni na kamba ya fuso nyingine funga miguuni yote miwili ili usije kurefuka nusunusu, wambie madereva wawashe na waondoke kwa kasi utarefuka.
Duh so poa[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji1]Ufupi sio ugonjwa ila kama kwako ni ugonjwa tafuta fuso tani 7 mbili, zifunge kamba nyuma kila moja, moja ielekee kushoto nyngine kulia, funga kamba moja shingoni na kamba ya fuso nyingine funga miguuni yote miwili ili usije kurefuka nusunusu, wambie madereva wawashe na waondoke kwa kasi utarefuka.
Kunywa maji kwa wingiJamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze
Umetisha mkuuu[emoji12]Kunywa maji kwa wingi
Kunani tunakoelekea?!Duuh jaman huku tunakoelekea[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wee huoniKunani tunakoelekea?!
Mi sioni Miss Queen... nasikia tu mtu anataka dawa za kuongezea urefu halafu sijui ni urefu huu huu wa kuogopa kuitwa andunje aka kistuli au anazungumzia urefu mwingine manake JF nayo, mnh!Wee huoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka urefu saizi gani maana kuna vipimo tofauti kuanzia vya panya ,farasi,punda na mpaka vya tembo ni pochi lako tu mkuu