Mzee tafuta mahala ambapo yanapatikana madodoki ya mwendokasi jichanjie! Utakuwa mrefu ndugu kadili ya dodoki linavyokuwa! Zoezi jema la kuwa mrefu.Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze
Kuna kampuni IPO ujerumani, in a to a dawa hizo angalia www.adishorn.comJamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze
bro urefu wa farasi bei ganiUnataka urefu saizi gani maana kuna vipimo tofauti kuanzia vya panya ,farasi,punda na mpaka vya tembo ni pochi lako tu mkuu
Funga na kuomba Muulize sir GodJamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze