G gsby New Member Joined Jun 5, 2017 Posts 4 Reaction score 0 Oct 3, 2017 #1 Naomba kujua side effects za madawa ya kupunguza unene..
G gsby New Member Joined Jun 5, 2017 Posts 4 Reaction score 0 Oct 4, 2017 Thread starter #2 Mfano hii dawa Attachments IMG_20171004_083941_229.JPG 25.5 KB · Views: 117
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Oct 4, 2017 #3 Mkuu fanya mazoezi tena si kwa hiari bali zaidi ya kujitoa. Si kila kitu ni kutumia dawa
ETT Member Joined Jul 23, 2017 Posts 28 Reaction score 26 Oct 4, 2017 #4 Kichwa Kichafu said: Mkuu fanya mazoezi tena si kwa hiari bali zaidi ya kujitoa. Si kila kitu ni kutumia dawa Click to expand... Afanye mazoezi, anywe maji mengi, tumia matunda kama vile matikiti ni dawa nzuri, punguza vyakula vyenye mafuta au wanga kupita kiasi kwani wanga ikizidi bado mwili huibadilisha na kuwa mafuta(fatty acid synthesis)
Kichwa Kichafu said: Mkuu fanya mazoezi tena si kwa hiari bali zaidi ya kujitoa. Si kila kitu ni kutumia dawa Click to expand... Afanye mazoezi, anywe maji mengi, tumia matunda kama vile matikiti ni dawa nzuri, punguza vyakula vyenye mafuta au wanga kupita kiasi kwani wanga ikizidi bado mwili huibadilisha na kuwa mafuta(fatty acid synthesis)