Dawa za kupunguza unene

Dawa za kupunguza unene

gsby

New Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Naomba kujua side effects za madawa ya kupunguza unene..
 
Mfano hii dawa
 

Attachments

  • IMG_20171004_083941_229.JPG
    IMG_20171004_083941_229.JPG
    25.5 KB · Views: 117
Mkuu fanya mazoezi tena si kwa hiari bali zaidi ya kujitoa.

Si kila kitu ni kutumia dawa
Afanye mazoezi, anywe maji mengi, tumia matunda kama vile matikiti ni dawa nzuri, punguza vyakula vyenye mafuta au wanga kupita kiasi kwani wanga ikizidi bado mwili huibadilisha na kuwa mafuta(fatty acid synthesis)
 
Back
Top Bottom