Dawa za kushave sehemu za siri

Dawa za kushave sehemu za siri

Caritha

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
64
Reaction score
13
Naombeni wadau mnihabarishe madhara na faida ya kutumia shaving powder au shaving cream sehemu za siri
 
Faida yake si ni kusaidia unyoaji!.!? Madhara inategema na make na ngozi yako, inatakiwa utest kabla ya kutumia ili kujua kama una allergy nayo au sivyo
 
Nashukuru kwa ushauri
 
Back
Top Bottom