Dawa za mifugo tuwasiliane

Dawa za mifugo tuwasiliane

TEK

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
184
Reaction score
35
Kwa wanafuga kuku dawa bora ya kukinga na kutibu kideli. Ng'ombe, mbuzi, nguruwe, na mifugo mingine yote zipo dawa za minyoo. Tibu mifugo yako.

Tuwasiliane wandugu 0763797853
 
igekuwa bora kama ugeweka na location unayopatikana
 
Mkuu Ngamba mimi napatikana Mbeya ilakwakupitia urahisi wa mawasiliano popote Tanzania nafanya kazi
 
Aisee nimefuga kuku ila sijawahi kusikia tiba ya kideri zaidi ya kuwatenga kuku basi

Hongera nadhani itawasaidia wengi
 
Back
Top Bottom