TEK Senior Member Joined Jul 13, 2015 Posts 184 Reaction score 35 Aug 12, 2015 #1 Kwa wanafuga kuku dawa bora ya kukinga na kutibu kideli. Ng'ombe, mbuzi, nguruwe, na mifugo mingine yote zipo dawa za minyoo. Tibu mifugo yako. Tuwasiliane wandugu 0763797853
Kwa wanafuga kuku dawa bora ya kukinga na kutibu kideli. Ng'ombe, mbuzi, nguruwe, na mifugo mingine yote zipo dawa za minyoo. Tibu mifugo yako. Tuwasiliane wandugu 0763797853
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Aug 13, 2015 #2 igekuwa bora kama ugeweka na location unayopatikana
TEK Senior Member Joined Jul 13, 2015 Posts 184 Reaction score 35 Aug 13, 2015 Thread starter #3 Mkuu Ngamba mimi napatikana Mbeya ilakwakupitia urahisi wa mawasiliano popote Tanzania nafanya kazi
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Aug 16, 2015 #4 Aisee nimefuga kuku ila sijawahi kusikia tiba ya kideri zaidi ya kuwatenga kuku basi Hongera nadhani itawasaidia wengi
Aisee nimefuga kuku ila sijawahi kusikia tiba ya kideri zaidi ya kuwatenga kuku basi Hongera nadhani itawasaidia wengi
mafimboo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 2,415 Reaction score 977 Aug 16, 2015 #5 tutakucheki