P paparaz Member Joined Jun 3, 2012 Posts 30 Reaction score 1 Jul 13, 2012 #1 Habari zenu wanaJF. Hivi mama mjamzito anaruhusiwa kumeza dawa za minyoo aina ya Albendazole? madaktari naombeni ushauri wenu.
Habari zenu wanaJF. Hivi mama mjamzito anaruhusiwa kumeza dawa za minyoo aina ya Albendazole? madaktari naombeni ushauri wenu.
measkron JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,782 Reaction score 2,414 Jul 13, 2012 #2 Anaruhusiwa katika wiki ya 28 huwa wanapewa clinic dawa za minyoo na malaria
1 1ladymartha New Member Joined May 6, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Oct 17, 2013 #3 paparaz said: Habari zenu wanaJF. Hivi mama mjamzito anaruhusiwa kumeza dawa za minyoo aina ya Albendazole? Madaktari naombeni ushauri wenu. Click to expand... hi. anaruhusiwa ila ni baada ya mimba kutimiza miezi mitatu
paparaz said: Habari zenu wanaJF. Hivi mama mjamzito anaruhusiwa kumeza dawa za minyoo aina ya Albendazole? Madaktari naombeni ushauri wenu. Click to expand... hi. anaruhusiwa ila ni baada ya mimba kutimiza miezi mitatu
N Ntu JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,001 Reaction score 650 Feb 21, 2019 #4 1ladymartha said: hi. anaruhusiwa ila ni baada ya mimba kutimiza miezi mitatu Click to expand... Dawa zipi mkuu zinazoruhusiwa mjamzito apewe? NB: Mimba ina miezi 5.
1ladymartha said: hi. anaruhusiwa ila ni baada ya mimba kutimiza miezi mitatu Click to expand... Dawa zipi mkuu zinazoruhusiwa mjamzito apewe? NB: Mimba ina miezi 5.
Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,482 Reaction score 27,182 Feb 21, 2019 #5 Ntu said: Dawa zipi mkuu zinazoruhusiwa mjamzito apewe? NB: Mimba ina miezi 5. Click to expand... Mebendazole
Ntu said: Dawa zipi mkuu zinazoruhusiwa mjamzito apewe? NB: Mimba ina miezi 5. Click to expand... Mebendazole