Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wanaJF. Hivi mama mjamzito anaruhusiwa kumeza dawa za minyoo aina ya Albendazole? Madaktari naombeni ushauri wenu.
Dawa zipi mkuu zinazoruhusiwa mjamzito apewe? NB: Mimba ina miezi 5.hi. anaruhusiwa ila ni baada ya mimba kutimiza miezi mitatu
Dawa zipi mkuu zinazoruhusiwa mjamzito apewe? NB: Mimba ina miezi 5.