Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
- Thread starter
-
- #21
Ulimtumia hela akakutumia dawa ama alikupa ushauri tu ukafanya mwenyeweMim alinitibu huyu kwa maradhi haya ya kawaida na ni mtu makin.sana ukimtumia email anakujibu as long as ana muda wa kukujibu hivo hebu jaribu kuwasiliana nae MziziMkavu i trust uuuuuu
Ukizitaka Dawa zangu mimi nina wakala wangu yupo hapo Mjini Dar nitumie baruwa ya pepe nitakupatia Contact za wakala wangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App +905013460377Nashukuru mkuu nimeiona ila tatizo uko mbali sana na dawa zako unauza bei ya juu sana hebu jaribu kunijengea ushawishi wa kukuamini ili nikutumie na wewe kunitumia dawa ambayo inafanya kazi kweli.😠
Mim alinitibu huyu kwa maradhi haya ya kawaida na ni mtu makin.sana ukimtumia email anakujibu as long as ana muda wa kukujibu hivo hebu jaribu kuwasiliana nae MziziMkavu i trust uuuuuu
Mimi tabia yangu huwa ninapenda kumpa Mtu ushauri wa ukweli ukiufuata utafanikiwamzizi si mbabaishaji, mimi nilismbliwa na fungus sugu nilivyomweleza akasema niende hospital namaanisha jamaa ni mshauri, an dawa na kukuelekeza pale utakapo pata matibabu. safi mzizi mkuu....nagonga like.......................
Dawa zangu zinapatikana nje ya nchi ndio maana zimekuwa ni ghali na ndio dawa ukiona dawa zinauzwa kwa kila mtu na bei yake ni rahisi hiyo sio Dawa ndugu itakuwa ni dawa feki . Kama ni kweli unataka Dawa nitafute mimi Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App +905013460377Tatizo dawa zake zina bei kubwa sana.natamani sana dawa ya kurefusha mboo ila mashaka
Ulimtumia hela akakutumia dawa ama alikupa ushauri tu ukafanya mwenyewe
Mimi tabia yangu huwa ninapenda kumpa Mtu ushauri wa ukweli ukiufuata utafanikiwa
sipendi kutoa ushauri m-mbovu. Kuna maradhi yanayoweza kutibika Mahospitalini na kuna Maradhi ambayo yanatibika
kwa kutumia dawa za tiba mbadala. Sasa mimi nikiona unayo maradhi yanayoweza kutibika Hospitalini kwanini nisikupe
ushauri uende kwanza kwa Ma-Daktari wakutibie ikishindikana kupona ndio uje uniambie hujapona ili na mimi niweze
kutowa dawa zangu za tiba mbadala kwa hiyo nikikupa dawa zangu nina uhakika utapona baada ya wewe kutoka
hospitali kumaliza dawa za hospitali na hujapona.
Asante kwa kunipa Feedback endelea kwa kunywa Maji ya Uvuguvugu utaona faida yake nyingi unaweza pia Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App n+905013460377Sure. Kuna uzi ulitoa uahauri jinsi ya kuondoa chunusi kwenye ma.kalio kwa kutumia sonaderm....nilijaribu na zimeisha..
Tiba ya limao kuondoa weusi makwapani pia...me nlienda mbali nikalitumia kuondoa weusi katikati ya mapaja na imenisaidia...
Ile tiba ya kunywa maji ya uvuguvugu ndo naifanyia kazi...
Mola akulipe kheri...
ata me nasuport kwa maradhi mengine dawa zake ni nzuri ila kwa kukuza iyo kitu labda akafanyiwe operatîon
Tatizo dawa zake zina bei kubwa sana.natamani sana dawa ya kurefusha mboo ila mashaka
Je kuna hatua zozote umechukua?
ata me nasuport kwa maradhi mengine dawa zake ni nzuri ila kwa kukuza iyo kitu labda akafanyiwe operatîon
Mkuu Mzizi mkavu nakukubali sana ktk mashauri yako humu, na istoshe huwa unatupa darsa tosha.Mimi tabia yangu huwa ninapenda kumpa Mtu ushauri wa ukweli ukiufuata utafanikiwa
sipendi kutoa ushauri m-mbovu. Kuna maradhi yanayoweza kutibika Mahospitalini na kuna Maradhi ambayo yanatibika
kwa kutumia dawa za tiba mbadala. Sasa mimi nikiona unayo maradhi yanayoweza kutibika Hospitalini kwanini nisikupe
ushauri uende kwanza kwa Ma-Daktari wakutibie ikishindikana kupona ndio uje uniambie hujapona ili na mimi niweze
kutowa dawa zangu za tiba mbadala kwa hiyo nikikupa dawa zangu nina uhakika utapona baada ya wewe kutoka
hospitali kumaliza dawa za hospitali na hujapona.
Mkuu Mzizi mkavu nakukubali sana ktk mashauri yako humu, na istoshe huwa unatupa darsa tosha.
Nilikuwa nasumbuliwa kwa kutopata choo vizuri na kutokwa na kinyama wakati wa kujisaidia. Nilipitia mashauri yako mbalimbali humu JF. ukaelezea kuhusu kitunguu swaumu kama Tiba mbadala.
Niliweza kumeza chembe Nane mpaka tisa za kitunguu swaum Asubuhi na jioni, lakini mabadiliko niliyopata ni mazuri na hata like kinyama Sikioni wakati wa kujisaidia.
Ila ningependa ushauri kuhusu mchanganyiko utakao saidia kurahisisha choo mkuu.....
Asante sana mkuuu
MARADHI YA KUTOPATA CHOO KIURAHISI (CONSTIPATION)
UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida. Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari.
Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.
Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.
MTU MWENYE TATIZO HILI ANA DALILI GANI?
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa. Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa.
NINI HUSABABISHA TATIZO?
Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.
NINI KIFANYIKE?
Ili kuondoa tatizo kabla halijawa sugu, fanya moja miongoni mwa haya yafuatayo: Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mapema, kisha tembea tembea, baada ya muda utasikia haja ya kwenda chooni. Ili usifanye haraka na upate muda wa kutosha kujiandaa kwenda kazini, amka mapema zaidi. Kula kiasi cha kutosha cha salad ya mboga mboga na juisi ya matunda halisi asubuhi kabla ya kula chochote.
Kila siku kabla ya kwenda kulala, kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali. Kunywa maji ya uvugu
yaliyochanganywa na limau asubuhi na mapema kabla hujala kitu chochote. Kunywa ‘castor Oil’ muda mfupi kabla ya kwenda kulala. Ili
kujiepusha kabisa na tatizo la ukosefu wa choo, jenga mazoea ya kunywa maji mengi, kula mboga na matunda kwa wingi kila siku na
kuacha kabisa ulaji wa vyakula vilivyoondolewa virutubisho kama vile mikate myeupe, ugali wa unga mweupe, keki vyakula vyenye sukari nyingi na vyakula vingine vitamu.
MARADHI YA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION):
Haya ni maradhi ambayo mgonjwa huwa hapati choo kwa wepesi. Haja kubwa inaweza kutoka baada ya siku moja au mbili au zaidi na ikitoka huwa ni kigumu na hutoka kwa shida na wakati mwingine huwa kama
cha mbuzi. Wagonjwa wengine hupata maumivu wakati wa kwenda haja kubwa.
Mtu mwenye afya nzuri hupata haja kubwa kwa kiwango cha chini mara moja kwa siku. Na choo huwa laini na hutoka bila matatizo.
SABABU ZA MARADHI HUSIKA:
(1) Upungufu wa vitamini mwilini hasa vitamin B.
(2) Maradhi ndani ya utumbo mpana.
(3) Kula vitu vigumu na vikavu kama vile vyakula vya ngano.
(4) Upungufu wa ulaji matunda na mboga.
(5) Kutokunywa maji ya kutosha.
(6) Upungufu wa fibre kwenye chakula zinazopatikana kwenye maganda ya mahindi.
(7) Ukosefu wa kufanya mazoezi ya viungo.
TIBA: YA KWANZA:
Chukua glasi moja ya maziwa freshi baridi uchanganye na vijiko viwili vikubwa vya asali na kijiko kimoja kidogo cha mafuta ya habitsoda. Kunywa glasi moja kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Dawa hii hufanya choo kuwa laini na kupata haja kubwa kwa wepesi.
TIBA YA PILI:
Kunywa kwa wingi maji ya kunywa ya kutosha na pia ule kwa wingi matunda na mboga.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Mkuu mzizi kavu,MARADHI YA KUTOPATA CHOO KIURAHISI (CONSTIPATION)
UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida. Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari.
Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.
Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.
MTU MWENYE TATIZO HILI ANA DALILI GANI?
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa. Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa.
NINI HUSABABISHA TATIZO?
Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.
NINI KIFANYIKE?
Ili kuondoa tatizo kabla halijawa sugu, fanya moja miongoni mwa haya yafuatayo: Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mapema, kisha tembea tembea, baada ya muda utasikia haja ya kwenda chooni. Ili usifanye haraka na upate muda wa kutosha kujiandaa kwenda kazini, amka mapema zaidi. Kula kiasi cha kutosha cha salad ya mboga mboga na juisi ya matunda halisi asubuhi kabla ya kula chochote.
Kila siku kabla ya kwenda kulala, kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali. Kunywa maji ya uvuguvugu (Warm Water)
yaliyochanganywa na limau asubuhi na mapema kabla hujala kitu chochote. Kunywa Mafuta ya Mbarika aka mafuta ya nyonyo ‘castor Oil’ muda mfupi kabla ya kwenda kulala. Ili
kujiepusha kabisa na tatizo la ukosefu wa choo, jenga mazoea ya kunywa maji mengi, kula mboga na matunda kwa wingi kila siku na
kuacha kabisa ulaji wa vyakula vilivyoondolewa virutubisho kama vile mikate myeupe, ugali wa unga mweupe, keki vyakula vyenye sukari nyingi na vyakula vingine vitamu.
MARADHI YA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION):
Haya ni maradhi ambayo mgonjwa huwa hapati choo kwa wepesi. Haja kubwa inaweza kutoka baada ya siku moja au mbili au zaidi na ikitoka huwa ni kigumu na hutoka kwa shida na wakati mwingine huwa kama
cha mbuzi. Wagonjwa wengine hupata maumivu wakati wa kwenda haja kubwa.
Mtu mwenye afya nzuri hupata haja kubwa kwa kiwango cha chini mara moja kwa siku. Na choo huwa laini na hutoka bila matatizo.
SABABU ZA MARADHI HUSIKA:
(1) Upungufu wa vitamini mwilini hasa vitamin B.
(2) Maradhi ndani ya utumbo mpana.
(3) Kula vitu vigumu na vikavu kama vile vyakula vya ngano.
(4) Upungufu wa ulaji matunda na mboga.
(5) Kutokunywa maji ya kutosha.
(6) Upungufu wa fibre kwenye chakula zinazopatikana kwenye maganda ya mahindi.
(7) Ukosefu wa kufanya mazoezi ya viungo.
TIBA: YA KWANZA:
Chukua glasi moja ya maziwa freshi baridi uchanganye na vijiko viwili vikubwa vya asali na kijiko kimoja kidogo cha mafuta ya habat Soda. Kunywa glasi moja kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Dawa hii hufanya choo kuwa laini na kupata haja kubwa kwa wepesi.
TIBA YA PILI:
Kunywa kwa wingi maji ya kunywa ya kutosha na pia ule kwa wingi matunda na mboga za Majani.