Dawa za Mzizi Mkavu zinatibu kweli?

Dawa za Mzizi Mkavu zinatibu kweli?

View attachment 2815102
Chuma majani hayo chemsha kunywa Kwa kujitibu maradhi yako.Usipo pona nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
Hayo majani nyumbani kwangu yapo na huwa kila nikisikia maumivu au dalili za U.T.I huwa nachuma nachemsha nakunywa lakini inajirudia tena Kwa kipindi kifupi
 
Hayo majani nyumbani kwangu yapo na huwa kila nikisikia maumivu au dalili za U.T.I huwa nachuma nachemsha nakunywa lakini inajirudia tena Kwa kipindi kifupi
Unayo maradhi ya UTI Sugu isiyosikia dawa nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona.
 
Back
Top Bottom