saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,880
- 2,843
Kumbe hupo naye, hongereni kwa kazi nzuri ya utabibu.Uyu jamaa nipo nae na nafanya nae kazi za kutibu maradh mbali mbali yupo vizuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hupo naye, hongereni kwa kazi nzuri ya utabibu.Uyu jamaa nipo nae na nafanya nae kazi za kutibu maradh mbali mbali yupo vizuri tu
Naam ñipo naye Kwenye chuo Cha madoctor bingwa East Africa yeye akiwa usaKumbe hupo naye, hongereni kwa kazi nzuri ya utabibu.
Jamaa yupi?Uyu jamaa nipo nae na nafanya nae kazi za kutibu maradh mbali mbali yupo vizuri tu
Madokta wa mitishamba au madokta wapi hao?Naam ñipo naye Kwenye chuo Cha madoctor bingwa East Africa yeye akiwa usa
Wa tiba asilia
Hayo majani nyumbani kwangu yapo na huwa kila nikisikia maumivu au dalili za U.T.I huwa nachuma nachemsha nakunywa lakini inajirudia tena Kwa kipindi kifupiView attachment 2815102
Chuma majani hayo chemsha kunywa Kwa kujitibu maradhi yako.Usipo pona nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
Unayo maradhi ya UTI Sugu isiyosikia dawa nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona.Hayo majani nyumbani kwangu yapo na huwa kila nikisikia maumivu au dalili za U.T.I huwa nachuma nachemsha nakunywa lakini inajirudia tena Kwa kipindi kifupi