Dawa za Mzizi Mkavu zinatibu kweli?

Naomba kufaham ni kwanini misuli inachezacheza. Misuli ya mikononi na miguuni. Je kuna uhusiano na suala la msongo wa mawazo. Nn nfanye ili kupunguza msongo. Nna miaka23. Natanguliza shukurani
 
Mkuu....hivi misuli kucheza cheza husabaishwa na nini. Je kuna uhusiano wowote na msongo mkali wa mawazo?? Naomba kujua jinsi ya kupambana na msongo wa nawazo. Natanguliza shukurani
Misuli kukucheza ni mzunguko wako wa damu na sio maradhi mimi hunitokea wakati fualni kama inavyokutokea wewe ondoa shaka.
 
Mkuu.....
Hivi hauogopi kulogwa....[emoji15] [emoji15]
Watu wengine humu, sio wa mchelemchezo aiseeee....
Kwamfano huyo ulie mtaja..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Habari Mie naomba kufahamu dawa ya u.t.i sugu na p.i.d Kwa jinsia ya kike ni maradhi ambayo yananisumbua Sana
 
Alinipiga pesa kwenye dawa ya kukuza mashine, nenda kwa tahahari.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Alikupiga sh.ngapi? Na mashine haikuongezeka ama alikupigaje?
Kwenye laki 2, dawa feki, kwanza iliniletea vipele hatari. Tena kwa kuangalia ni kama yalikuwa ni mafuta ya mzeituni yakachangsnywa na kitu flan hivi, na unga sijui ni wa nini, nilikuwa natumia kuchua.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…