Dawa za nguvu za kiume VIAGRA

Mr pesa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
79
Reaction score
7
Nataka kujua kuhusa faida na hasara ya dawa izi nina miaka 21, tatzo linalopelekea nitake kunywa ni kwamba uume wangu husinyaa mara baada ya goli 1 nalo napiga ata dakika 1 haifiki nafika kilele
 
Punguza punyeto tu ndio viagra tosha, umri wako bado mdogo sana

Mi napiga punyeto Mara 3 kwa siku ni miaka 16 na nina piga gali mpaka 8 huyo dogo aache kula chipsi mayai ale ugali wa mtama uliochangamywa na kalanga parachichi na tangawizi kwa mwezi 1 tu...mabitozi wengi hawana nguvu za kiume sababu ya vyakula na mastress ya maisha
 
Tafuta tiba ya kudumu, mambo ya viagra ni solution ya dakika 20 tu, then you go back to square one!
Kwa umri wako huo nasikitika sn kama utaanza kutumia viagra, hutoenda mbali.

Mimi nilipokuwa umri wako nilikuwa kama faru!
MziziMkavu, saidia hii mutu
 
Last edited by a moderator:
Tafuta tiba ya kudumu, mambo ya viagra ni solution ya dakika 20 tu, then you go back to square one!
Kwa umri wako huo nasikitika sn kama utaanza kutumia viagra, hutoenda mbali.

Mimi nilipokuwa umri wako nilikuwa kama faru!
MziziMkavu, saidia hii mutu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kizazi hiki vijana wanapenda vitu laini sana, ukiwaambia habari za dona au mtama hawakuelwewi mkuu....
 
Mkuu kizazi hiki vijana wanapenda vitu laini sana, ukiwaambia habari za dona au mtama hawakuelwewi mkuu....

Kidume kinashindia chips mayai mishkaki na soda kikishindwa kudinda kinatafuta mikuyati na Viagra wakati busta za asili zinapatikana sokoni
 
Nataka kujua kuhusa faida na hasara ya dawa izi nina miaka 21, tatzo linalopelekea nitake kunywa ni kwamba uume wangu husinyaa mara baada ya goli 1 nalo napiga ata dakika 1 haifiki nafika kilele
Wewe si afadhali

kuna rafiki yangu mmoja alikuwa jela Labanon jela ya WApalestina walimfunga M-Tanzania

miaka 20 iliyopita nilionana nae alisema tangu ametoka jela anatumia hizo Dawa za Viagra Uume wake

hauwezi kusimama Uume wake siku hizi mpaka atumie Hizo dawa za viagra ameshakuwa mteja wa Dawa

za Viagra mkuu usitumie Viagra . Viagra vina madhara makubwa wewe bado kijana kwanini unatumia

Viagra? mimi kaka yako nina Miaka 48 sijawahi tumia dawa ya

aina yoyote ile ya kizungu ya kuongeza nguvu za kiume. Kama unapiga Punyeto ninakuomba uache

kupiga punyeto ndio

inayosababisha Uume wako usinyae mara tu unapo maliza goli la kwanza. Na kama ulisha wahi kupiga

punyeto na unataka

kurudisha nguvu zako za kiume zirudi kama kawaida, mimi ninazo Dawa za Mitishamba zilizotengenezwa

kwa utaalamu wa

kisasa yaani Vidonge (Capsule) hazina madhara kwa binadamu ukitumia kwamuda wamiezi 3 utarudisha nguvu zako za

kiume hebu tembelea hapa bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html Au pia waweza kuwasiliana na mimi kwa barua ya Pepe Email yangu hii hapa

fewgoodman@hotmail.com Nitaweza kukusaidia.


Uume kusinyaa.


Mwanaume anayepatwa na tatizo hili anapokuja kujigundua huona kama mabadiliko makubwa yaliyotokea ghafla katika viungo vyake vya siri. Mwanamke mwenye tatizo hili pia naye huona kama tatizo geni linaloanza ghafla.

Kwa kawaida hali hii hutokea katika umri mkubwa kwa mwanaume na mwanamke yaani kuanzia umri wa miaka hamsini lakini ikitokea katika umri chini ya miaka hamsini basi ni tatizo. Wapo vijana wenye matatizo haya ambayo vyanzo vyake tutakuja kuviona katika safu hii.

CHANZO CHA TATIZO


Hali ya kusinyaa kwa viungo vya uzazi kwa mwanamke na mwanaume hutokana na kuwepo kwa msukumo hafifu wa damu sehemu hiyo, maambukizi sehemu za siri ambayo huwa ya muda mrefu hasa kaswende, hitilafu katika misuli ya

uke na sehemu za siri za mwanaume inayoathiriwa na kaswende virusi vya HIV, ugonjwa wa kifua kikuu na hata baadhi ya magonjwa sugu ya ngozi. Matatizo mengine yanayochangia hali hii ni ugonjwa wa kisukari.Na upigaji wa Punyeto.


Matatizo katika mishipa ya damu vilevile huweza kusababishwa na magonjwa ya moyo au mishipa ya damu

inayosambaa sehemu hizo. Misuli inaposinyaa kwa mwanamke nayo huweza kusababishwa na magonjwa kama tulivyoona, uke unasinyaa pia huweza kusababishwa na uzazi wa mara kwa mara na karibu kufanya ngono mara kwa mara na wanaume tofauti na hitilafu katika mfumo wa homoni.


Mwanamke anapata tatizo hili la kusinyaa uke endapo pia homoni au kichocheo cha Estrogen' kitakuwa kimepungua mwilini na kufanya mafuta yapungue ukeni. Kwa upande wa mwanaume homoni inayopungua kwa mwanaume ni Testosterone.


DALILI ZA TATIZO

Mwanaume mwenye tatizo hili hasa kijana, ingawa kwa wazee ni hali ya kawaida, kijana huanza kuona mfuko wa pumbu hulegea na kushuka sana, usinyaa na kujikunja kunja, kokwa huinekana ndogo na mishipa mikubwa ya damu huanza kujitokeza na mishipa mbegu toka katika kende huonekana wazi. Uume huwa kama wa mtoto mdogo na mishipa

ya damu huchomoza wazi. Nguvu za kiume hupungua sana na endapo ukiweza tendo la ndoa la kwanza unawahi kumaliza na kushindwa kabisa kupata tendo la pili.


Mara kwa mara maandalizi kabla ya tendo la ndoa kwa mwanaume mwenye tatizo hili ni kuchezea sana uume kwa kuurusharusha au kuupiga piga kidogo kidogo ili kuamsha au kuhamasisha msukumo wa damu. Baada ya hapo uume huanza kusimama taratibu na endapo utasimama basi inabidi uwahi tendo na kama utachelewa, basi uume utalala na kushindwa tena kufanya tendo kwa siku hiyo.

Mwanamke yeye daima huwa mkavu na wakati wa tendo hapati hisia zozote hadi tendo linapokwisha na kama mwanaume hana tatizo lolote na mwenye nguvu za kutosha basi mwanamke atapata michubuko na maumivu na kuhisi karaha ya tendo na hawezi kufika kileleni.

UCHUNGUZI
Tatizo hili kama tulivyoona husababishwa na magonjwa mbalimbali, pia yapo matatizo na magonjwa mengine yanyochangia hali hii, magonjwa kama kisukari, endapo ugonjwa utakuwa wa muda mrefu unaweza kuathiri hali hii.

Tabia ya kujichua kwa mwanaume na mwanamke pia huweza kuathiri au kusababisha tatizo hili kama mtu atakuwa amejichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani msukumo wa damu sehemu za viungo vya uzazi utakuwa umeathiriwa.

Viungo vya uzazi vinaweza kupooza kutokana na hitilafu katika mishipa ya fahamu. Mishipa ya fahamu inapoathirika viungo hupooza (paralysis of genitalia) na mwanaume kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa na ukeni hakuna kabisa mawasiliano yanayoleta msisimko.

Vipimo vya damu na mkojo na vingine ambavyo daktari ataona vinafaa vitafanyika.


MATIBABU NA USHAURI
Tiba hutolewa kadiri daktari atakavyoona inafaa. Matibabu hutolewa katika kliniki za matatizo au magonjwa ya kinamama ambapo na kina baba hutibiwa matatizo haya.

Baada ya uchunguzi tiba itatolea kuona kama hitilafu ni maambukizo au katika mfumo wa homoni. Wahi hospitali kwa uchunguzi na tiba zaidi.


Vipi Mshikaji PakaJimmy hujambo? vipi Arusha huko munatunyima nini? Baridi ipo?
 

sawa kaka nimekuelewa
 
ASANTEN SANA WANDUGU..... PIA mzizi mkavu SHUKRAN SANA NANITAKUTAFUTA UNISAIDIE NIKWEL MIE NIMEPIGA SANA PUNYETO.
 
MZIZI MKAVU naweza kupata namba yako ya simu,sina email mm.
 
Nataka kujua kuhusa faida na hasara ya dawa izi nina miaka 21, tatzo linalopelekea nitake kunywa ni kwamba uume wangu husinyaa mara baada ya goli 1 nalo napiga ata dakika 1 haifiki nafika kilele
[h=2]Mume aliyefia gesti akiwa na mke wa mtu alimeza viagra[/h]



Gladness Mallya na
Haruni anchawa
MIEZI michache baada ya mwanaume aliyetambulika kwa jina la Hamad Kipondo kufia gesti akiwa na mke wa mpangaji mwenzake, Latifa Seleman siri imevuja kuwa alimeza dawa za kuongeza nguvu za kiume ‘viagra'.


Mwili wa Hamad Kipondo aliyefia gesti ukiingizwa kwenye gari.

MUME HAKUWA MHUNI!
Akizungumza na Amani kwa majonzi mazito hivi karibuni, mjane wa marehemu aitwaye Salma Abdallah ambaye ni Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Chadibwa, Ukonga Ilala jijini Dar es Salaam alisema mumewe hakuwa na tabia ya uhuni na siku ya tukio ilikuwa mara ya kwanza kukutana na mwanamke huyo.




Viagra.

CHANZO CHA KIFO
Kwa mujibu wa mwanamke huyo, ripoti iliyotolewa na daktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambaye ndiye aliyeufanyia uchunguzi mwili wa marehemu, ilionesha kuwa Hamad alitumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ‘viagra' ndiyo maana mauti yalimkuta ghafla.



Mwanamke aliyekuwa na marehemu gesti.
"Mume wangu alipata ajali mbaya mwanzoni mwa mwaka huu, akapata tatizo la presha na nguvu za kiume kupungua.
"Hivyo kwa mujibu wa ripoti ya daktari mtu ambaye ana presha akitumia dawa za kuongeza nguvu za kiume, hasa viagra uwezekano wa kupoteza maisha ni mkubwa. Ripoti ilisema presha ilimpanda mume wangu wakati wa tendo akafa.



Mke wa marehemu akifarijiwa na waombolezaji.

MWANAMKE ALIYEKUWA NA MAREHEMU AACHIKA
Kwa mujibu wa mjane huyo, mwanamke aliyekuwa gesti na mumewe siku ya tukio, Latifa aliachika kwa mumewe baada ya kutokea kwa tukio hilo kwani mume wake alimweleza hataki kumuona nyumbani kwake, kwa sasa anaishi kwa baba yake Majoe jijini Dar.


Mwili wa
marehemu ukiwa kwenye gari.


ILIKUWA SIKUKUU YA IDD EL FITR

Hamad alifikwa na mauti siku ya Idd Pili akiwa katika gesti moja iliyopo Kiwalani, Dar es Salaam ambapo alikuwa na mwanamke huyo.

Mazishi ya Hamad yalifanyika katika Makaburi ya Temeke, Dar huku ndugu wa marehemu wakimfutia kesi mwanamke huyo wakisema wanamwachia Mungu.


Waombolezaji wakiwa na mke wa marehemu.


DOO INASIKITISHA SANA POLENI SANA WAFIWA WABONGO MUSITUMIE VIAGRA JAMANI . VIAGRA VINAUWA JAMANI TUMIENI

DAWA ZA MITISHAMBA ANAZO TANGAZA MZIZIMKAVU HAZINA MADHARA SHAURI YENU.
Attached Thumbnails





 
Nataka kujua kuhusa faida na hasara ya dawa izi nina miaka 21, tatzo linalopelekea nitake kunywa ni kwamba uume wangu husinyaa mara baada ya goli 1 nalo napiga ata dakika 1 haifiki nafika kilele

ukiwa na ugonjwa maarufu kwa jina BP, viagra inaweza kukutanguliza mbele za haki. amini usiamini watu wengi huwa hawajijui kama wana huo ugonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…