Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza punyeto tu ndio viagra tosha, umri wako bado mdogo sana
Mkuu kizazi hiki vijana wanapenda vitu laini sana, ukiwaambia habari za dona au mtama hawakuelwewi mkuu....Mi napiga punyeto Mara 3 kwa siku ni miaka 16 na nina piga gali mpaka 8 huyo dogo aache kula chipsi mayai ale ugali wa mtama uliochangamywa na kalanga parachichi na tangawizi kwa mwezi 1 tu...mabitozi wengi hawana nguvu za kiume sababu ya vyakula na mastress ya maisha
Mkuu kizazi hiki vijana wanapenda vitu laini sana, ukiwaambia habari za dona au mtama hawakuelwewi mkuu....
Kidume kinashindia chips mayai mishkaki na soda kikishindwa kudinda kinatafuta mikuyati na Viagra wakati busta za asili zinapatikana sokoni
Wewe si afadhaliNataka kujua kuhusa faida na hasara ya dawa izi nina miaka 21, tatzo linalopelekea nitake kunywa ni kwamba uume wangu husinyaa mara baada ya goli 1 nalo napiga ata dakika 1 haifiki nafika kilele
Vipi Mshikaji PakaJimmy hujambo? vipi Arusha huko munatunyima nini? Baridi ipo?Tafuta tiba ya kudumu, mambo ya viagra ni solution ya dakika 20 tu, then you go back to square one!
Kwa umri wako huo nasikitika sn kama utaanza kutumia viagra, hutoenda mbali.
Mimi nilipokuwa umri wako nilikuwa kama faru!
MziziMkavu, saidia hii mutu
asante ndugPunguza punyeto tu ndio viagra tosha, umri wako bado mdogo sana
Mi napiga punyeto Mara 3 kwa siku ni miaka 16 na nina piga gali mpaka 8 huyo dogo aache kula chipsi mayai ale ugali wa mtama uliochangamywa na kalanga parachichi na tangawizi kwa mwezi 1 tu...mabitozi wengi hawana nguvu za kiume sababu ya vyakula na mastress ya maisha
[h=2]Mume aliyefia gesti akiwa na mke wa mtu alimeza viagra[/h]Nataka kujua kuhusa faida na hasara ya dawa izi nina miaka 21, tatzo linalopelekea nitake kunywa ni kwamba uume wangu husinyaa mara baada ya goli 1 nalo napiga ata dakika 1 haifiki nafika kilele
Nataka kujua kuhusa faida na hasara ya dawa izi nina miaka 21, tatzo linalopelekea nitake kunywa ni kwamba uume wangu husinyaa mara baada ya goli 1 nalo napiga ata dakika 1 haifiki nafika kilele