Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

poteleambali

Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
80
Reaction score
102
Habari, nikiwa nasimamia ujenzi wa kanyumba kangu nikawa simwelewi fundi wangu mkuu.

Mara nyingi amekaa chini ya mti amewaachia kazi mafundi wasaidizi pamoja na vibarua.
Siku ya 3 ikabidi nimuulize kwanini inakua hivyo wakati mimi nimepatana na yeye?

Akaniambia mkuu ni wiki ya 3 sasa tangu nimetembea na mwanamke ambaye ni mwathirika wa HIV, sikutumia condom na nililijua hilo baada kumwambia tukapime kona zikawa nyingi. Siku ya 3 ndo akakubali, vipimo vikaonyesha ni HIV+ japo alionyesha kustuka kwamba alikua hajui.

Baada ya hapo alienda hospitali ya serikali akapimwa akakutwa yuko HIV -ve then ndo akapewa PEP ambazo alitakiwa azitumie kwa siku 28.

Anasema baada ya kupitia machapisho mengi yanasema PEP inakuwa effective ikitumiwa ndani ya masaa 2 au ndani masaa 12, 36 mwisho 48. Yeye akipiga nahesabu alianza baada ya masaa 52 na hapo ndo wasiwasi wake ulipo. Pia anadai ulimi wake una layer flani nyeupe, japo nilivyomwangalia sikuona shida sana japo kweli ipo.

Je kuna mtu aliishawahi kukutana za shida kama hii na akatumia dawa hizi baada ya masaa 48 na mwisho wa dose akawa sawa?

Pia watu wa afya michango yenu inasubiriwa tafadhali.
 
Pole sana mkuu japo unaficha ficha kuwa sio wewe. Pep hufanya kazi ndani ya saa 72. Japokuwa kuna kufeli lakini ni asilimia chache sana

Masaa 72 bwana bado yupo salama
 
Back
Top Bottom