Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

Sasa wewe fundi umesema ulienda hospitali ya serikali ambapo kuna wataalam wa tiba kwahiyo unataka kusema wao hawajakueleza dawa hizo zinakuwa bora kuzitumia ndani ya muda gani hadi useme ulipitia machapisho?
Mkuu nimesimulia alichonieleza, kuhusu hospitali , aliulizwa tu exposure ilikua lini alivyojibu ikaonekana ni ndani ya masaa 72 akapewa.
Haya mengine ni katika kudodosa machapisho ndo akaoni hivyo
 
Pep kutumia ni ndani ya masaa 72, siku nkitulia ntakuja kuwapa kisa kimoja cha hizi dawa, sitomsahau yule dada dokta aliyenitembeza hosp nzima
PEP is most effective when initiated as soon as possible, ideally within 24 hours and no later than 72 hours after exposure (WHO et al)
 
Wewe tayar ulikuwa una maambukizi hata kabla hujakutana na huyo Mwanamke sema ni vile tu ulikuwa hujijui.

Pole sana mkuu muhimu fuata ushauri uliopewa na wataalam wakati ukiwa hospitalini.
Duuu, ndugu umesoma kweli nilichosimulia?
Huyo baadaa kutokea yaliyotokea huyo bwana alienda hospitali, akapimwa na hakua na maambukizi ndo akapewa hizo PEP
 
Mkuu nimesimulia alichonieleza, kuhusu hospitali , aliulizwa tu exposure ilikua lini alivyojibu ikaonekana ni ndani ya masaa 72 akapewa.
Haya mengine ni katika kudodosa machapisho ndo akaoni hivyo
Mbona hiyo elimu ya kumeza hizo dawa ndani ya saa 72 toka ushiriki tendo hatarishi imekuwa ikitolewa sana na wataalam wa afya! Sasa kama ulikuwa uwaamini hao wataalam na kuanza kutafuta majibu mengine tofauti hilo ndiyo tatizo.
 
PEP is most effective when initiated as soon as possible, ideally within 24 hours and no later than 72 hours after exposure (WHO)
Ahsante, nitamwonyesha hii post yako uliyonukuu WHO (reliable source) ingawa ni muda kidogo hatajaonana na baada ya post yako nimempigia hapatikani
 
Mbona hiyo elimu ya kumeza hizo dawa ndani ya saa 72 toka ushiriki tendo hatarishi imekuwa ikitolewa sana na wataalam wa afya! Sasa kama ulikuwa uwaamini hao wataalam na kuanza kutafuta majibu mengine tofauti hilo ndiyo tatizo.
Mimi najua hivyo, hata yeye pia, ila anasema baadhi ya machapisho ndo yameeleza hivyo, tena yakisema kuna baadhi ya nchi PEP haitolewi baada ya masaa 36 wakiamini effectiveness inakua nfogo sana
 
20240902_114346.jpg
 
Mimi najua hivyo, hata yeye pia, ila anasema baadhi ya machapisho ndo yameeleza hivyo, tena yakisema kuna baadhi ya nchi PEP haitolewi baada ya masaa 36 wakiamini effectiveness inakua nfogo sana
Basi sawa,cha muhimu wewe malizia tu kazi ya watu halafu fanya kama hakijatokea kitu kisha baada ya miezi 3 kapime tena hapo ndiyo utapata jibu kamili.
 
Back
Top Bottom