poteleambali
Member
- Jul 23, 2015
- 80
- 102
- Thread starter
-
- #21
Mkuu nimesimulia alichonieleza, kuhusu hospitali , aliulizwa tu exposure ilikua lini alivyojibu ikaonekana ni ndani ya masaa 72 akapewa.Sasa wewe fundi umesema ulienda hospitali ya serikali ambapo kuna wataalam wa tiba kwahiyo unataka kusema wao hawajakueleza dawa hizo zinakuwa bora kuzitumia ndani ya muda gani hadi useme ulipitia machapisho?
PEP is most effective when initiated as soon as possible, ideally within 24 hours and no later than 72 hours after exposure (WHO et al)Pep kutumia ni ndani ya masaa 72, siku nkitulia ntakuja kuwapa kisa kimoja cha hizi dawa, sitomsahau yule dada dokta aliyenitembeza hosp nzima
Duuu, ndugu umesoma kweli nilichosimulia?Wewe tayar ulikuwa una maambukizi hata kabla hujakutana na huyo Mwanamke sema ni vile tu ulikuwa hujijui.
Pole sana mkuu muhimu fuata ushauri uliopewa na wataalam wakati ukiwa hospitalini.
Ameandika baada ya vipimo mwanamke +ve mwanaume -veWewe inawezekana tayar ulikuwa una maambukizi hata kabla hujakutana na huyo Mwanamke sema ni vile tu ulikuwa hujijui.
Pole sana mkuu muhimu fuata ushauri uliopewa na wataalam wakati ukiwa hospitalini.
Mbona hiyo elimu ya kumeza hizo dawa ndani ya saa 72 toka ushiriki tendo hatarishi imekuwa ikitolewa sana na wataalam wa afya! Sasa kama ulikuwa uwaamini hao wataalam na kuanza kutafuta majibu mengine tofauti hilo ndiyo tatizo.Mkuu nimesimulia alichonieleza, kuhusu hospitali , aliulizwa tu exposure ilikua lini alivyojibu ikaonekana ni ndani ya masaa 72 akapewa.
Haya mengine ni katika kudodosa machapisho ndo akaoni hivyo
Ahsante, nitamwonyesha hii post yako uliyonukuu WHO (reliable source) ingawa ni muda kidogo hatajaonana na baada ya post yako nimempigia hapatikaniPEP is most effective when initiated as soon as possible, ideally within 24 hours and no later than 72 hours after exposure (WHO)
Bado somo halijafika kunako.... ila kitafika tu...Muwe makini Trump anazingua mjue
Mimi najua hivyo, hata yeye pia, ila anasema baadhi ya machapisho ndo yameeleza hivyo, tena yakisema kuna baadhi ya nchi PEP haitolewi baada ya masaa 36 wakiamini effectiveness inakua nfogo sanaMbona hiyo elimu ya kumeza hizo dawa ndani ya saa 72 toka ushiriki tendo hatarishi imekuwa ikitolewa sana na wataalam wa afya! Sasa kama ulikuwa uwaamini hao wataalam na kuanza kutafuta majibu mengine tofauti hilo ndiyo tatizo.
Naaam mkuu Fundi kayakanyagaFerooz ft Professor Jay – Starehe
Basi sawa,cha muhimu wewe malizia tu kazi ya watu halafu fanya kama hakijatokea kitu kisha baada ya miezi 3 kapime tena hapo ndiyo utapata jibu kamili.Mimi najua hivyo, hata yeye pia, ila anasema baadhi ya machapisho ndo yameeleza hivyo, tena yakisema kuna baadhi ya nchi PEP haitolewi baada ya masaa 36 wakiamini effectiveness inakua nfogo sana
Pole mkuu
Mawazo tu ya kiswahili yalinijia nikasema poteleambali ngoja niulize tu.mmmh, yani jamiiforum!
Kama ni mimi kwanini nizunguke, hapa nilipo unaniona sura, au chochote kinafanya unitambue tukionana?, kama sivyo ya nini ni zunguke
Hapo sina jibu kamili maana mi kwa sasa nipo tofauti na ngono aiseee...