Kukosa usingizi ni ugonjwa unaofahamika Kama insomnia, ugonjwa huu hautibiki kwa dawa. Ukiutibu kwa dawa Kama hizo Valium na piriton, utajikuta unakuwa teja.
Ninakushauri hivi kwa sababu niliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo baada ya kumaliza kidato cha sits msuli PCM. Niliwahi kudhania halitaisha lakini baadaye liliisha.
Usitumie dawa yeyote, usijegeuka teja bure.
Lakin Mkuu hizo dawa kwani ni za kulevya?
Vitu gani hivyo mkuu
Goli la mkono.