M45
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 1,110
- 1,462
Habari,
Mimi ni Kijana 25years .
Nina tatizo la kukosa usingizi takribani miaka mitatu sasa, Ninalala mapema saa nne usiku lakini usingizi nakuja kuupata saa kumi au saa tisa, hali ambayo inanifanya nisinzie nikiwa kazini kwani kazi inanihitaji.
Katika kuuliza tatizo nikapata jamaa yangu na kunieleza kuwa kuna dawa za usingizi zipi madukani.
Aina mojawapo ni (Valium)(Zolpidem)
Je hizi dawa zinafanya kazi baada ya muda gani?
Je inaruhusiwa kutumia na maziwa au pombe?
Asante!