Dawa za uzazi wa mpango

Dawa za uzazi wa mpango

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,163
Habari za mida hii wana jf wote. Kama kichwa cha habari kinavojielezea kuna dem nilimgegeda siku chache zilizopita ila akawa anahofia anaeza kua kwe siku za hatar nikamnunulia vidonge flan ivi vinaitwa "emegency contraceptive pill" sana sana wanapewa watu waliobakwa na hawatak kua na ujauzito sasa kwa huyo dem hajaona efect yoyote as a side efect sa apo sijaelewa ni hakua siku hatar au ni vidonge havikufanya kazi naomben msaada apo wajuzi wa hivi vidonge
 
Kwanini ugonge Dry kwa Mademu hovyo hovyo? Halalisha ili awe mkeo ili swala la mimba lisiwe hatari kwake,ukimwi upo kijana.
 
Back
Top Bottom