Unataka kujitengenezea dawa binafsi?Na mimi nimelenga hapohapo kwenye active ingredients.
Kwa mfano unajua active ingredients za dawa fulani ni hizi, hizi na hizi, je, kuna uwezekano wa kujitengenezea dawa kwa matumizi binafsi?
Ndiyo, ni dawa binafsi, ni kwa ajili ya matumizi yangu binafsi, na siyo for commercial use wala kumpa mtu mwingine.Unataka kujitengenezea dawa binafsi?
How?
Anatengeneza Paracetamol hapa [emoji116]Shukrani mkuu.
Dondoo kama hizi za kutengeneza dawa ndizo nilizokuwa nazihitaji. Kumbe kujitengenezea dawa kwa kuangalia ingredients kuna masharti!, ongezea masharti mengine mkuu.
Halafu, ni kweli ingredients za kwenye leaflet pekee ndizo zinazounda dawa?, au ingredients nyingine hawaweki?
Kutengenezea pesa ni tofauti na kujitengenezea dawa, kutengeneza pesa ni haramu wakati kujitengenezea dawa ni halali, ukijibidiisha kutengeneza jambo la halali, inawezekana.nimeona kwenye moja ya comments yako ni kutaka kutengeneza dawa mwenyewe Kwa hizo viungo vyao walivyoweka hapo ila kumbuka ata fedha watu wana jua material ila jinsi ya kuyachanganya ndo ngumu ata ww itakuwa hivyo hivyo
Sintojitengenezea dawa kama huyo.Anatengeneza Paracetamol hapa [emoji116]
Haitakuwa Paracetamol tena itakuwa dawa ya asili!.. Hizo malighafi ndio zimeifanya kuitwa Paracetamol!.Sintojitengenezea dawa kama huyo.
Huyo anatumia mchanganyiko wa malighafi za kutengeneza kimaabara au za kununua kutoka wholesaler wa viwandani.
Mimi nitatengeneza kwa kutumia mchanganyiko wa asili na sintochanganya na preservatives zozote zile, kwasababu nitaitumia kwa muda mfupi.
Haitakuwa dawa ya asili totally, wala haitakuwa paracetamol totally. Itakuwa nusu paracetamol nusu dawa ya asili, kwasababu, malighafi nitakuwa nimezitohoa kutoka kwenye ingredients (active ingredients) za paracetamol, na ingredients hizohizo nitakuwa nimezitafuta kwenye species za asili.Haitakuwa Paracetamol tena itakuwa dawa ya asili!.. Hizo malighafi ndio zimeifanya kuitwa Paracetamol!.
Mkuu...Ndiyo, ni dawa binafsi, ni kwa ajili ya matumizi yangu binafsi, na siyo for commercial use wala kumpa mtu mwingine.
Jinsi nitakavyoitengeneza, nitatumia njia hizi:
1: Nitaorodhesha active ingredients zote za dawa ninayoitaka, nitazipata kwenye leaflet au google.
2: Nitaitengeneza kila active ingredient kwa kuitwanga (iwe chengachenga), au kuisaga (iwe unga), au kuikamua (iwe mchuzi).
3: Baada ya kuzitwanga, kuzisaga na kuzikamua, nitachanganya mchanganyiko wa active ingredients zote ili kupata dawa.
Sasa dawa itakuwa tayari kwa kunywa kwa dozi ya kutwa mara kadhaa.
Naomba unishauri mkuu, kama kuna sehemu nimekosea au marekebisho.
Ahsante sana.
Hizo active ingridient unajua kuwa zinakuwa synthesized maabara??Kutengenezea pesa ni tofauti na kujitengenezea dawa, kutengeneza pesa ni haramu wakati kujitengenezea dawa ni halali, ukijibidiisha kutengeneza jambo la halali, inawezekana.
Nikuulize wewe, kwanini unasema kujitengenezea dawa haiwezekani?.
Wengi wanaona haiwezekani kwa sababu ya active ingredients zitakazo andaliwa zina majina magumu ya kisayansi.
Nahisi mpaka hapa atakuwa amekuelewa.Mkuu...
Kwanza hongera sana kwa jinsi ulivyokuwa na udadisi mkubwa kuhusiana na masuala ya kutengeneza dawa...
Ila idea yako ni nzuri sema ipo kinadharia sanaa na kimatendo hiko kitu hakiwezekani kufanyika...
Utengenezaji wa dawa ni sayansi na hivyo basi ina misingi yake... Nadhani kuna mdau hapo juu ametangulia kukueleza kuhusiana na vitu kama "preservatives", "excipients", "binders" na kadhalika.
Katika kada ya Ufamasia kuna somo linaitwa PHARMACEUTIC... Hili huwa lina dili na kuandaa fomula za dawa kwaajili ya matumizi ya dawa kwa kuzingatia maumbile ya mwanadamu kibaiolojia na kikemikali...
Sio kila dawa inatakiwa iwe kidonge, unga unga, au kimiminika.. Inategemea na hali ya ugonjwa na mgonjwa husika..
Kiufupi tu huwezi kutengeneza dawa kwa kutumia leaflet na Google pekee.. Inahitajika uwe na ufahamu zaidi ya hapo.
Ok go ahead! Tengeneza mkorogo wako!Mm ntakuja kwenye mazishi yakoDhumuni la hili swali, nilitaka kuthibitisha kama dawa zinatengenezwa kwa kutumia mchanganyiko wa ingredoents zilizo kwenye leaflet pekee, na hawaongezi kingine tofauti na ingredients zilizotajwa kwenye leaflet.
Baada ya hapo najitengenezea dawa mwenyewe kwa kuchanganya mchanganyiko wa ingredients zilizo kwenye leaflet.
Sijui kama umenielewa mpaka hapo?
Nimeanza kutafuta njia ya kutengeneza dawa kwa matumizi binafsi kitambo kidogo. Nikapata njia ambazo sikuzipenda.Mkuu...
Kwanza hongera sana kwa jinsi ulivyokuwa na udadisi mkubwa kuhusiana na masuala ya kutengeneza dawa...
Ila idea yako ni nzuri sema ipo kinadharia sanaa na kimatendo hiko kitu hakiwezekani kufanyika...
Utengenezaji wa dawa ni sayansi na hivyo basi ina misingi yake... Nadhani kuna mdau hapo juu ametangulia kukueleza kuhusiana na vitu kama "preservatives", "excipients", "binders" na kadhalika.
Katika kada ya Ufamasia kuna somo linaitwa PHARMACEUTIC... Hili huwa lina dili na kuandaa fomula za dawa kwaajili ya matumizi ya dawa kwa kuzingatia maumbile ya mwanadamu kibaiolojia na kikemikali...
Sio kila dawa inatakiwa iwe kidonge, unga unga, au kimiminika.. Inategemea na hali ya ugonjwa na mgonjwa husika..
Kiufupi tu huwezi kutengeneza dawa kwa kutumia leaflet na Google pekee.. Inahitajika uwe na ufahamu zaidi ya hapo.
Kinachokutisha wewe ni misamiati ya kisayansi ya hizo ingredients, mimi sintotengeneza kama wao hizo ingredients. Ingredients zao ndiyo zimenirahisishia kutengeneza dawa. Nitakachofanya, naitafsiri kila ingredient kwa kiswahili ni material gani, halafu nayandaa.Hizo active ingridient unajua kuwa zinakuwa synthesized maabara??
Hapo kuwa kama dawa ya asili sina uhakika.Nahisi mpaka hapa atakuwa amekuelewa.
Hiyo anayotaka kusema itakuwa ni dawa ya asili..kwa sababu dawa ya asili ndani yake kuna vitu vingi,ambavyo vingine ni sumu mwilini,ili vinatumika tu kwa trial and error..
Kutishana tu.Ok go ahead! Tengeneza mkorogo wako!Mm ntakuja kwenye mazishi yako
Kutishana tu.
Mkuu..Nimeanza kutafuta njia ya kutengeneza dawa kwa matumizi binafsi kitambo kidogo. Nikapata njia ambazo sikuzipenda.
Njia zenyewe ni:
1: TIBA LISHE
Nilikuwa nafocus kwenye nutrients (virutubisho) vinavyotibu ugonjwa fulani, nikishavipata, naangalia chakula gani chenye nutrients hizo kwa wingi. Nikaona kama itanipotezea muda wa kila siku kununua vyakula.
2: KUZIZOEA NUTRIENTS AUTOMATICALLY KWA LADHA
Nikawa natumia chakula chenye nutrient fulani kwa wingi kuizoea na kuikariri ladha ya nutrient fulani ili hata nikila chakula kingine, nitambue hiki chakula kina nutrient fulani. Nikatumia kanuni ya certain taste = certain nutrient. Hii nayo ikanishinda.
3: DIGESTION SYSTEM
Nikajiuliza, baada ya chakula kusagwa, ni kiungo gani kinasambaza nutrients kwenda sehemu mbalimbali za mwili, ingawaje baadaye nilipata jibu, yaani 'villi', lakini haikunisaidia, niliishia kujua neno villi tu basi.
4: CHEMICAL REACTION YA VYAKULA TOFAUTI
Nikawa nachukua vyakula viwili tofauti halafu najiuliza nikichanganya ladha itaniletea nutrient ipi?, nikaona hapa ndiyo kabisa nitapoteza muda, kemia yenyewe nilikimbia shuleni.
5: JIBU LIMEPATIKANA
Nikaona hapa nikitumia maarifa yangu kupata njia ya kutengeneza dawa, nitafeli, nikaamua kutumia mgongo wa dawa za hospitali, nikaanza kuchambua kila ingredients, nikawa naona maruweruwe ya maneno ya Kigiriki na Kilatini.
Baadaye nikaona hapa nikichambua kila ingredient nitapoteza muda, nikapata wazo la kutumia ingredients zote kwa pamoja, ambalo ndiyo jibu sasa.
Tukija kwenye maoni yako, mimi nasema inawezekana, kwasababu kazi yangu itakuwa siyo kubuni, kutunga forumula, wala kufikiria kisayansi, kazi yangu itakuwa ni kucopy na kupaste ingredients ambazo wanasayansi wameshazifanyia kazi tayari.
Nikisema niangalie maelezo ya kitaalam ya jinsi ya kutengeneza dawa kama yalivyo maelezo yenu, nitakuwa nacomplicate, hatimaye ninaweza kuacha kabisa mpango wangu.Nikupongeze kwa mtazamo ulio nao.
Hata hivyo utengezezaji wa dawa unaangalia mambo matatu ya msingi:
1. Quality (Ubora)
2. Safety (Usalama)
3. Efficacy (Matokeo chanya)
Haya hupelekea:-
1. Kuwa na aina/muonekano tofauti wa dawa (Different Formulation Designs)
2. Formulation hizo huitaji njia tofauti za utengenezaji (Manufacturing Processes) kulingana na lengo mahususi la dawa husika.
3. Huitajika njia mbalimbali za upimaji (Quality Control and Testing) ili kujiridhisha na viwango na ubora wa kile unachotengeneza.
Hapa nimehighlight kwa kifupi sana kwani kwa ujumla utengenezaji wa dawa huangalia mambo mengi sana.
Hapo kwenye kutumia ingredients husika bila kuchakachua au kuzidisha mbwembwe, kwa mtengeneza dawa wa mitaani umenipa kitu cha kuzingatia sana, vingine ni mbwembwe za kisomi tu, vinawafaa watengeneza dawa professional, ila siyo mbaya, vitafaa kwa revision, reference na darasa kwa siku za mbele.Mkuu..
Kwanza kabisa inabidi ufahamu kabisa kwamba kuna tofauti kubwa sana kati ya DAWA(Drugs), Nutrients(virutubisho vya lishe) na NUTRACEUTICALS (sijui Kiswahili chake ila nahisi kwa kizungu ni pharmaceutical nutrients preparation)
Kitu kingine ambacho unatakiwa ufahamu ni kwamba hata kama utajua kama fomula fulani ni dawa hata kwa kukopi kutoka katika chanzo husika ni lazima uelewe je hiyo tiba yako uliyobuni inakidhi vigezo muhimu kama Mdau alivyo vitaja hapo juu yaani QUALITY (ubora) , EFFICACY (Athari inayotarajiwa kuleta mabadiliko husika ya kimatibabu) na SAFETY (usalama)
Mwisho ningependa kukuunga mkono kwamba inawezekana kutengeneza dawa kwa kukopi formula zinazotambulika kutoka katika vyanzo mbalimbali mfano PHARMACOPOEIAS... Huu utaalamu una fahamika kama COMPOUNDING katika ufamasia...
Jambo la kuzingatia ni kufuata maelekezo kama inavyotakiwa na kutumia ingredients husika bila kuchakachua au kuzidisha mbwembwe... Japo ufahamu zaidi wa elimu ya madawa inabidi uwe nao maana kutengeneza au kukopi kutengeneza dawa ni zaidi ya tunavyofikiria.
Asante.
Hahahaha..unajua unanifurahisha sana..utajuaje nutrients kwa ladha ya chakula??Nimeanza kutafuta njia ya kutengeneza dawa kwa matumizi binafsi kitambo kidogo. Nikapata njia ambazo sikuzipenda.