Embu tasfiri kwa kiswahili "phenylacetaniline"Kinachokutisha wewe ni misamiati ya kisayansi ya hizo ingredients, mimi sintotengeneza kama wao hizo ingredients. Ingredients zao ndiyo zimenirahisishia kutengeneza dawa. Nitakachofanya, naitafsiri kila ingredient kwa kiswahili ni material gani, halafu nayandaa.
Hapo kuwa kama dawa ya asili sina uhakika.
Swali zuri Darmian.Hahahaha..unajua unanifurahisha sana..utajuaje nutrients kwa ladha ya chakula??
Dawa za viwandani ni sawasawa na dawa za makampuni ya kuuza dawa, za viwandani na za makampuni ya kutengeneza dawa zote zinaandaliwa maabara. Tofauti yake, za viwandani zinatengenezwa ili mradi tu wauze, pia viwanda vinauza raw materials (active and inactive ingredients), wakati za makampuni, kampuni zinatengeneza dawa bora ili kulinda hadhi na jina la kampuni.Dawa za viwandani huwekwa vitu vya kupunguza uchungu na kuzifanywa zinyweke. Ukimeza active ingridient yenyewe unaweza hata kutapika na isikusaidie.
Mkuu, huwa nikiamua kufuatilia jambo, nitalifualitilia mpaka nilijue, active ingredients hata zikiwa na majina magumu kiasi gani, nitahakikisha nazijua kila moja kiswahili chake ni material gani.Embu tasfiri kwa kiswahili "phenylacetaniline"