Dawa zisizo rasmi za kuzuia kupata mimba!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Habari!

Naomba kujifunza, wewe binti/mwanamke unatumia dawa gani kuzuia mimba pindi unapofanya tendo la ndoa bila kinga?

Kuna wale wanaotumia vidonge vya Asprin au Metronidazole kabla ya tendo, je inawasaidia kweli?

Vipi kuhusu soda ya Cocacola?

Tujikite katika njia zilizo tofauti na contraceptives!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini uhangaike na dawa .....subirini siku salama mcheze mchezo wenu...hayo mambo ya dawa ndio baadae bidada anapata biological effects halafu uje kusema mchuchu siku hizi anashape mbaya mara yuko kama puto and so on!!!!
 
Mkuu kuna kitu nataka tu kujifunza, mtaani wadada wengi hutumia njia hizi, so c vby kuzifahamu na kushauriana pale tunapoona wanajidhuru!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari!

Naomba kujifunza, wewe binti/mwanamke unatumia dawa gani kuzuia mimba pindi unapofanya tendo la ndoa bila kinga?

Kuna wale wanaotumia vidonge vya Asprin au Metronidazole kabla ya tendo, je inawasaidia kweli?

Vipi kuhusu soda ya Cocacola?

Tujikite katika njia zilizo tofauti na contraceptives!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unapendeleaga kutumia nn?
 
Unapiga Videnti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom