tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
Vipi kwa wanandoa?
Kuacha ngoni kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuacha ngoni kabisa
Waache ngono. HaifaiVipi kwa wanandoa?
mm kuna mchepuko wangu na ugegedaga huwa bada ya kushusha wazungu hukimbilia kunywa maji, ila haisaidi kituu kwani niliwahi mpa mimbaHabari!
Naomba kujifunza, wewe binti/mwanamke unatumia dawa gani kuzuia mimba pindi unapofanya tendo la ndoa bila kinga?
Kuna wale wanaotumia vidonge vya Asprin au Metronidazole kabla ya tendo, je inawasaidia kweli?
Vipi kuhusu soda ya Cocacola?
Tujikite katika njia zilizo tofauti na contraceptives!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee majivu na digestion wapi na wapi,hapo si utaumwa tu tumbo mrembo!?Kama umekutana na partner wako siku ya hatari,unakunywa mchanganyiko wa maji na majivu baada ya tendo.
Mchanganyiko huo uwe na ujazo wa kikombe cha chai.
Anakunywa mwanamke au mie men??Kama umekutana na partner wako siku ya hatari,unakunywa mchanganyiko wa maji na majivu baada ya tendo.
Mchanganyiko huo uwe na ujazo wa kikombe cha chai.
mwanamke..Anakunywa mwanamke au mie men??
ni kweli mkuu..nina ushuhuda juu ya hiloAisee majivu na digestion wapi na wapi,hapo si utaumwa tu tumbo mrembo!?
Ulikunywa mwenyewe😃ni kweli mkuu..nina ushuhuda juu ya hilo
Asante, vidonge vingapi?