Sijui kama watakuelewakwanini uhangaike na dawa .....subirini siku salama mcheze mchezo wenu...hayo mambo ya dawa ndio baadae bidada anapata biological effects halafu uje kusema mchuchu siku hizi anashape mbaya mara yuko kama puto and so on!!!!
Mkuu kuna kitu nataka tu kujifunza, mtaani wadada wengi hutumia njia hizi, so c vby kuzifahamu na kushauriana pale tunapoona wanajidhuru!kwanini uhangaike na dawa .....subirini siku salama mcheze mchezo wenu...hayo mambo ya dawa ndio baadae bidada anapata biological effects halafu uje kusema mchuchu siku hizi anashape mbaya mara yuko kama puto and so on!!!!
UnazifanyajeMbegu za mnyonyo
Wewe unapendeleaga kutumia nn?Habari!
Naomba kujifunza, wewe binti/mwanamke unatumia dawa gani kuzuia mimba pindi unapofanya tendo la ndoa bila kinga?
Kuna wale wanaotumia vidonge vya Asprin au Metronidazole kabla ya tendo, je inawasaidia kweli?
Vipi kuhusu soda ya Cocacola?
Tujikite katika njia zilizo tofauti na contraceptives!
Sent using Jamii Forums mobile app
majivu??? Yanatumikaje??Majivu
Kama umekutana na partner wako siku ya hatari,unakunywa mchanganyiko wa maji na majivu baada ya tendo.majivu??? Yanatumikaje??
EenhKama umekutana na partner wako siku ya hatari,unakunywa mchanganyiko wa maji na majivu baada ya tendo.
Mchanganyiko huo uwe na ujazo wa kikombe cha chai.
πππEenh
Kuacha ngoni kabisaNjia salama na ya uhakika ni moja tu