RESOLVED DAWASA: Bomba lililokuwa linavuja Barabara ya Kimara Korogwe - Majichumvi limerekebishwa

RESOLVED DAWASA: Bomba lililokuwa linavuja Barabara ya Kimara Korogwe - Majichumvi limerekebishwa

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Oktoba 15, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Barabara ya Kimara Korogwe - Majichumvi bomba linavunja mwezi mzima sasa bila maboresho”

Pia soma ~ Barabara ya Kimara Korogwe - Majichumvi bomba linavunja mwezi mzima sasa bila maboresho

Baada ya hapo akaeleza “Bomba hilo lipo katika Barabara ya Magufuli (Kimara Korogwe kwenda Majichumvi) hakuna hatua zilizochukuliwa.”

HATUA ZACHUKULIWA
Jumamosi Oktoba 17, 2026, Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) ikafika eneo la tukio na kuanza kufanya maboresho ambapo Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema hadi kufikia usiku wa siku hiyo changamoto ilitatuliwa na bomba lilizibwa.
 
Back
Top Bottom