Baada ya hapo akaeleza “Bomba hilo lipo katika Barabara ya Magufuli (Kimara Korogwe kwenda Majichumvi) hakuna hatua zilizochukuliwa.”
Your browser is not able to display this video.
HATUA ZACHUKULIWA
Jumamosi Oktoba 17, 2026, Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) ikafika eneo la tukio na kuanza kufanya maboresho ambapo Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema hadi kufikia usiku wa siku hiyo changamoto ilitatuliwa na bomba lilizibwa.