upupu255 JF-Expert Member Joined Sep 4, 2024 Posts 418 Reaction score 550 Jan 1, 2026 #1 Katika harakati zangu za kutembelea ndugu jamaa na marafiki leo Mwaka mpya nimekutana na hii chamber ya maji ya Dawasa inavujisha maji kama mto maji mengi yanapotea hapa. Nilipouliza wenyeji wakaniambia eneo ni Tegeta A, Kwa matope Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Katika harakati zangu za kutembelea ndugu jamaa na marafiki leo Mwaka mpya nimekutana na hii chamber ya maji ya Dawasa inavujisha maji kama mto maji mengi yanapotea hapa. Nilipouliza wenyeji wakaniambia eneo ni Tegeta A, Kwa matope Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.