Pwani na DarKwa hiyo DAWASA wana operate hadi kibaha na siyo Dar pekee?
Mita zimeisha na pesa mmelipia?Kwanini miradi mingi ya serikali huwa inaanza kwa kwa bashasha na kwa kadri muda unavyoendelea, ndivyo inavyozidi kudorora? Suala la kuunganishiwa maji limekuwa gumzo katika maeneo mengi. Wacha nitoe uzoefu wangu.
Mimi ni mkazi wa Mivumoni, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinindoni, nilijaza form ya kuunganishiwa maji, lakini ilibidi nifuatilie ndipo ilipopatikana!
Baada ya kupatikana kwa hiyo form nililipia kiasi kilichotakiwa. Nililipa tarehe 7. 7. 2023, nikaambiwa nisubiri siku 14 za kazi.
Nikasubiri kwa hamu kwelikweli. Baada ya siku 17 kupita nikaenda ofisini kuulizia (maana ndio utamaduni wetu, kufuatilia), nilipofuatilia niliambiwa Mita zimeisha. What? Mita zimeisha? Ina maana wakati mradi unaanza hamkuwa na vifaa vya kutosha?
Jibu: Mita zimeisha.
Swali: DAWASA mnafeli wapi?
Ina maana huu mradi haukuwa na bajeti? Mpaka hivi ninavyoandika, sijapata maji. Hiki kilio nikipeleke kwa nani?
0769080629