DAWASA Kibaha wanabambikia watu bili za maji, mamlaka waangalie kuna kitu huku

Ila DAWASA wana mambo ya hovyo kuna siku bomba lilipasuka tukawapigia simu waje kurekebisha. Wakakaa muda weeh maji yanavuja tu wakaja wakafunga tukakaa bila maji tukawatafuta tena wakaja empty hands wanasema mabomba hakuna ofisini ikabidi tuchange wakaweka bomba zima

Na ni wasumbufu kweli hiyo ya mita wanakadiria kuna sehemu niliishi mita ni faint kabisa ila wanakuja wanasoma then wanatuma bill dah [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hao ni wezi kabisa, kuna haja ya kuwaripoti kwenye mamlaka husika. Haiwezekani mtu apewe bill ya Tshs 500,000/= kwa mwezi kwa matumizi tu kawaida ya nyumbani. Au Sister una mashamba unafanya kilimo cha umwagiliaji?
Hamna nyumba

Sina shamba nyumba ina wapangaji family 2 umla watu sita bili ilikua inakuja elfu 30 wakaongeza hadi 50 nikanyamaza. Sasa wameniwekea mwezi lakin5 nikaenda kulalamika sijalipa wakakagua mita wakasema mita yao ipo sawa tatizo litakua kwangu kuna leakage kubwa ndo maana bili imekuja lakin5 sasa nilipie kwa awamu lakin2 mbili na mie uwezo sina. Sa hio leakge si ingeonekana nimeita fundi bomba binafis kakagua anasema nyumba haina leakage
 
Nimeweka Bomba Jipya lina miezi miwili ( domestic)
Ndio kwanza tumetumia unit 10 nimetumiwa bill imesoma 255000
Haki nmeshangaa, nmewafata Dawasa pale segerea wakasema watashugulikia nilipie ela ya unit hizo..
Cha kushangaza nmelipia nmeambiwa bado nadaiwa laki2 na 30>>>>
Mpaka nguvu sina jamani
 
Mimi ya kwangu iliharibika bill ikawa inakuja 58000, 53000 mara 35000, wakati nilikuwa nimezoea bill ya 16000 mpaka 18000, nikawatembelea ofsini kwoa nikawaeleza shida yangu, siku iliyofuata wakaja wakaitoa wakafunga mpya ila walisema kama nataka mchakato uwe mfupi nilipe hiyo bill basi otherwise itachukua muda.
 
Mnapenda kujipa stress bure!! Umeenda kwa wahusika,nao wamekujulisha ya kwamba lipia bill YAKO tu. SASA kinachokufanya uishiwe nguvu ni kipi??. Hilo deni ni la malipo YAKO ya maunganisho ya maji( new connection) baada ya kufanya malipo wao watatakiwa wafanye Adjustment ndo maana walikwambia uachane nayo! Au ulidaiwa tena?? Maana hata sisi ilitokea ila baada ya miezi miwili deni halikuonekana tena!!
Tujifunze kuridhika na majibu tunayopewa,huku mitandaoni huwa tunajazana upepo tu lakini ukienda Sehemu husika wanakuelekeza vizuri sana
 
Nenda moja kwa moja kwa Mh Jumaa Aweso Waziri mwenye dhamana na maji, mueleze malalamiko yako uone Meneja wa DAWASA atakavyoshukiwa, nna wasiwasi na wale wasoma mita wana kamchezo ka kubambukia watu units.
 
Mwezi huu nmeletewa bill nadaiwa laki 4 na nusu...
Nmetumia unit 9 tu kwa mwezi june na July hapo unasemaje mkuu
 
Mwezi huu nmeletewa bill nadaiwa laki 4 na nusu...
Nmetumia unit 9 tu kwa mwezi june na July hapo unasemaje mkuu
Bora wewe! Sisi tumetumiwa bill ya 6,000,000 matumizi ya maji mwezi mmoja eti wanadai mita ilikua Mbovu inatembea haraka kama Cherehani ila wamekataa kufuta hilo deni wamesema Lazima tulilipe 😭 Washenzi sana
 
Bill ya maji milioni sita.

Yaelekea hawa wenyewe wamecheka

Dawasa wezi sana. Bill ya maji kwa mwezi ni kubwa kuliko ya umeme
 
Bill ya maji milioni sita.

Yaelekea hawa wenyewe wamecheka

Dawasa wezi sana. Bill ya maji kwa mwezi ni kubwa kuliko ya umeme
I swear sikutanii Ndugu yangu. Wamegoma kufuta deni although wamekiri mita yao ilikua mbovu ila wamesema haiwahusu lazima tulipe 6 million kila mwezi tupunguze 100,000πŸ˜’
 
Bora wewe! Sisi tumetumiwa bill ya 6,000,000 matumizi ya maji mwezi mmoja eti wanadai mita ilikua Mbovu inatembea haraka kama Cherehani ila wamekataa kufuta hilo deni wamesema Lazima tulilipe [emoji24] Washenzi sana
Hapo mnakua mmetumia kama unit 3600 hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Aah mi nachoka jamani huu wizi unazidi
 
I swear sikutanii Ndugu yangu. Wamegoma kufuta deni although wamekiri mita yao ilikua mbovu ila wamesema haiwahusu lazima tulipe 6 million kila mwezi tupunguze 100,000πŸ˜’

Hapo ni kukwepa kulipa ili maji yakatwe.

Then ndugu yenu mwingine anaenda kuomba kuunganishiwa upya kwa jina lake na mnapewa mita mpya. Ila mafundi wa dawasco mnawapoza ili wasipeleke taarifa ofisini kama ni same house.

Ama mnafanya mita separation. Yaani mnaongeza mita ya ziada kama kuna mpangaji kaja pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…