GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwanza kwanini mkate Maji eneo la Kawe? Hivi hamjui kabisa kuwa Kawe wanakaa akina nani? Mnataka Kazi au hamtaki?
Watendaji wa DAWASA kwa sasa naumalizia Usingizi wangu ila nikiamka Saa 2 Kamili naomba nikute Mabomba yote ya Kawe yanatiririsha Maji vinginevyo nitakuja hapo Ofisini Kwenu na ndipo mtanielezea vyema huku nikiwa na Sura yangu ya Usununu (Hasira)
Jamani natania tu ila Watu wa DAWASA mmetukatia Maji kimya kimya Kawe tokea Jana Alasiri tena bila ya hata kutoa Taarifa popote hadi katika Kurasa zenu za Mitandao.
Kuna tatizo gani labda?
Kawe bila Maji huwa ni balaa.