GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwanza hakai hata dar yupo huko bush Bunda vijijini kawe anafanya kupasikia.Wewe ndio nawakuita etii una akili na hizi Thread zako za ovyoo. Eti kawe ndio Dar. Huko sikama tuuu kijiji flani huko Nanyamba.
Acha matisho wewe. Na warudishi ng'oo na kazi wataendelea kufanya
Hajawahi kufika dar huyo mkuu. Haishi Kawe. Kwao ni bush huko kyabakari mugumuKAWE NDO DAR? MKUU UNAWEZA KUJIVUNJIA HESHIMA KWA JAMBO DOGO SANA, YANI PALE MCHAFU KOGE UKWAMANI NDO USEME NI CENTRE YA DAR??? BULLSHIT
Kwanza kwanini mkate Maji eneo la Kawe? Hivi hamjui kabisa kuwa Kawe wanakaa akina nani? Mnataka Kazi au hamtaki?
Watendaji wa Dawasa kwa sasa naumalizia Usingizi wangu ila nikiamka Saa 2 Kamili naomba nikute Mabomba yote ya Kawe yanatiririsha Maji vinginevyo nitakuja hapo Ofisini Kwenu na ndipo mtanielezea vyema huku nikiwa na Sura yangu ya Usununu ( Hasira )
Jamani natania tu ila Watu wa Dawasa mmetukatia Maji kimya kimya Kawe tokea Jana Alasiri tena bila ya hata kutoa Taarifa poppte hadi katika Kurasa zenu za Mitandao. Kuna tatizo gani labda?
Kawe bila Maji huwa ni balaa.
Wenye Akili Kubwa na Wachache kama Wewe ndiyo mmenielewa na Siku zote huwa mnanielewa ila siyo 'Midunduna' kama LIKUD na Wenzake.Anamaanisha Jimbo la Kawe
Kuanzia Masaki hadi Mbweni
Mmeelewa ?!!
Dunduna.Mtoa mada hayupo hata kawe yupo zake kwao huko Bunda vijijini amawachora tu.
Dunduna.Hajawahi kufika dar huyo mkuu. Haishi Kawe. Kwao ni bush huko kyabakari mugumu
Hopeless and Nut kabisa Wewe hivi hujaona hapo katika Aya ya Tatu nimesema kuwa nilikuwa natania tu?KAWE NDO DAR? MKUU UNAWEZA KUJIVUNJIA HESHIMA KWA JAMBO DOGO SANA, YANI PALE MCHAFU KOGE UKWAMANI NDO USEME NI CENTRE YA DAR??? BULLSHIT
Sasa kama umeshajua kuwa Threads zangu ni za hovyo na hunipendi na Unanichukia kama Dunduna LIKUD kwani Kutwa mki Log In tu hapa JamiiForums ni lazima msome Mada zangu?Wewe ndio nawakuita etii una akili
Na hizi Thread zako za ovyoo
Eti kawe ndio Dar .
Huko sikama tuuu kijiji flani huko Nanyamba.
Acha matisho wewe .
Na warudishi ng'oo na kazi wataendelea kufanya
MKUU WEWE SIO LE MUTUZ AKA LE MUBEBEZ KWELI???Hopeless and Nut kabisa Wewe hivi hujaona hapo katika Aya ya Tatu nimesema kuwa nilikuwa natania tu?
Style yangu ya Uwasilishaji wa Jambo lolote hapa lazima liwe dramatic and humorous nashangaa mpaka leo hamjanielewa tu.
Mnakera.
Tusi limekaa kibunda bunda. Bunda vijijiniDunduna.
kama wanakaa watu wa aina yako dawa ni kuwakatia maji kila siku!Kwanza kwanini mkate Maji eneo la Kawe? Hivi hamjui kabisa kuwa Kawe wanakaa akina nani? Mnataka Kazi au hamtaki?
Na kama uko Dar es Salaam na hujakaa Kawe basi Wewe bado hufai kuitwa Mjanja na Mtoto wa Mjini.Ukisema Kawe ni Dar unamaanisha Dar yote ni waswahili, hii sehemu ni uswahilini, nimekaa pale. "Kaa Kawe ukawie".