Andazi
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,113
- 2,234
Bongo kweli nyoso mvua zote hizi siku sijui ya ngapi hatuna maji,
Haya maji mengi kwamba mnavyojenga sehemu za kuvuna maji mliwaza kuwa sio zote ni kiangazi
Kuweni serious wengine basi, bomba sijui limepasuka wekeni backup plan
Miundombinu ya mwaka 1880s huko ndio mnatumie leo
Wenzetu wana bombaless system nyie mmekazana na kulike connection za aslay na mademu wenye makalio insta huku sisi siku ya ngap sijui hatuogi
Poleni kama nimewakwaza
Soma pia;
=> DAWASA kwanini mvua ni nyingi lakini tunakosa maji?
=> Tabata Bonyokwa hatujaona tone la maji wiki ya tano sasa, DAWASA mnatuona manyani?
=> DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata
=> DAWASA, Segerea kuna mgao wa maji kimyakimya? Wiki ya pili mitaani hakuna maji!
=> Kinyerezi kuna shida kubwa ya maji, group la DAWASA WhatsApp halifanyi chochote kutatua kero hii
=> Waziri wa Maji jitokeze huko uliko uagize Tabata Kinyerezi wafunguliwe maji
=> DAWASA wanauza maji kwa njia ya magari Kinyerezi wakati Mabomba hayatoi maji