mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
- Thread starter
- #21
Shukran sn mkuu.Poleni aisee, maeneo ya kwa Mkuu wa Wilaya, ukishuka hadi kwa masister kuelekea Njeteni mambo ni [emoji91] maji 24/7.
Yaani kibamba kuanzia magari saba, mbezi inn kote maji 24/7.
Lakini ukivuka Ng,'ambo ya kwa mkuu wa wilaya.
Makondeko, luguruni eneo lote upande wa pili wa barabara ,
maji shida.
Ajabu mwisho wa mwezi bili wanatuma sms mara kumi kumi.