Kweli kunguni ni kunguni na sasa leo umekiri kuwa kinachoendesha miradi na kila kitu cha serikali.Hakuna Mji wa hovyo kuishi kama Dar
Huko Hadi hewa safi ni ya mgao ๐๐
My Take
Mkiambiwa lipeni tozo Serikali ilete Huduma Huwa mnapinga na mnalalmika sana.
Bado hamjasema Hadi mseme yaani ndio kwanza bwawa la kidunda Liko.20% ๐๐
Sasa ile kauli yenu ya mama ametoa bilioni kadhaa kwa ajili ya ujenzi huwa mnaitoa akili mkiwa mmeziacha nyuma?
Watu wanalipa kodi zinaenda kulipa kunguni kama wewe na matukio ya kipuuzi kama kizimkazi festival, knock out ya mama, bodaboda za mama, chai ya mama, daftari la mama, birthday ya mama.
Kwa taarifa yako tu ni kuwa hizo fulana, kofia , mabango , posho ni pesa za walipa kodi na hakuna aliyetoa mfukoni mwake kufadhili matukio ya hovyo kama hayo.