Kwani wakija wanasogeza mita yako kiujanja? Hawawezi kukuibia kama utaisona mita yako kila wakati! Mimi Kila wakileta bili ninalinganisha na mahesabu yangu naona sawa.
Sina uhakika kama siku wanyokutumia bili ndio wamesoma mita. Maana hata kujua wamesoma lini ni shida, tungefatilia, ila ki- ukweli kuna fluctuation kubwa za bili za hawa jamaa.