Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 130
- 368
Wakuu DAWASA leo naomba kuwafikishia malalamiko yangu kuhusu ubovu wa huduma zenu. Kuna shida ya Maji katika mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, Takriban Wiki 2 sasa Maji hayatoki na DAWASA hawatoi taarifa yoyote kueleza kama kuna uhaba wa Maji au Matengenezo yanafanyika.
Kuna wananchi wamejaribu kufika katika Ofisi zenu zilizopo Chama Segerea lakini mnawapa majibu yasiyoeleweka kwamba Maji yapo wakati kiuhalisia mtaani hakuna huduma ya Maji.
Ifike muda muwambie tu ukweli wananchi kwamba huduma imeshindikana au haipatikana ili watafute mbadala kuliko kukaa wanasubiri Maji kumbe kuna mgawo wa kimyakimya unaendelea na hamsemi.
Kuweni na utaratibu wa kuwapa watu taarifa wawe wanajiandaa kuwa kuhifadhi maji kwa tahadhari.
Majibu ya DAWASA, soma hapa: DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata
Soma zaid;

- Tabata Bonyokwa hatujaona tone la maji wiki ya tano sasa, DAWASA mnatuona manyani?
- DAWASA kwanini mvua ni nyingi lakini tunakosa maji?
- Maji ya DAWASA yana harufu na ladha ya Dawa kali sana, ni salama kweli?
- Tabata Bonyokwa hatujaona tone la maji wiki ya tano sasa, DAWASA mnatuona manyani?
- DAWASA wanauza maji kwa njia ya magari Kinyerezi wakati Mabomba hayatoi maji
- DAWASA, Segerea kuna mgao wa maji kimyakimya? Wiki ya pili mitaani hakuna maji!