Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda huko😂Aisee npo hapa kigamboni mitaa ya tuamoyo mi ni mgeni mbona maji ni ya chumvi?
Wapi huko bosiSio kweli DAWASA sio TANESCO usiwaringanishe kabisa huku hatukosi maji wiki nzima km yatakatika ni masaa tu yanatoka labda usipolipa ndio wanakukatia Ila km unalipa maji unamletea masafi
Ana kiherehere chawa wa mama....kutwa kujisifia yete ni familia ya mama....mpuuzi msukuma chawa mkubwa aibu....yuko PM office ksma KMLuhemeja kaachia ofisi?/Katenguliwa?
Lakini alikuwa anafanya kazi iliyotukuka kuliko wa sasa .Dawasco ya sasa mateso tu na waziri yupo anabgalia tuAna kiherehere chawa wa mama....kutwa kujisifia yete ni familia ya mama....mpuuzi msukuma chawa mkubwa aibu....yuko PM office ksma KM
Vipi hali ikoje? yashaanza kutoka? namba ya mbunge mnayo? ya diwani? ya mwenyekiti serikali ya mtaa? hivi huwa mnadhani zile kura mnazowapa ni za nini? hamuoni uhusiano wa kura zenu na huduma mnazopata? ngoja muisome namba mpaka maji muite maaSawa na Mbezi Makabe huku maji yalikuwa yanatoka kila siku ila toka dec mwaka jana wakaanza kuyakata wiki hii maji wameyaachia jumatatu tu mpaka leo kukavu na taarifa hakuna.
Bado maji kutoka machafu.
Ninakoishi kwa sheria za kipumbavu zilizowekwa na ccm siruhusiwi kupiga kura,mjumbe ni jirani yangu nae nimekuwa nikimsikia akilalamika kama tunavyolalamika wengine.Vipi hali ikoje? yashaanza kutoka? namba ya mbunge mnayo? ya diwani? ya mwenyekiti serikali ya mtaa? hivi huwa mnadhani zile kura mnazowapa ni za nini? hamuoni uhusiano wa kura zenu na huduma mnazopata? ngoja muisome namba mpaka maji muite maa