DAWASA: Tumeingia mtaani kuboresha huduma ya maji Mtaa wa King'ongo - Kimara

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
WhatsApp Image 2026-06-22 at 21.26.00 (1).jpeg

Baada ya Mdau kuandika hoja hii ~ Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji ufafanuzi umetolewa na mamlaka husika.

UFAFANUZI WA DAWASA...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam kupitia Ofisi za DAWASA Ubungo imechukua jitihada za makusudi za kuboresha huduma maeneo ya King'ong'o katika Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam.

Maboresho hayo ni pamoja na Kuboresha matoleo yanayo pokea maji kutoka bomba ya 24" ili kuongeza msukumo katika maeneo tajwa.

Kazi hiyo inatarajiwa kukamilika siku ya Jumatano, Juni 24,2026, kazi hii itanufaisha upatikanaji wa maji maeneo yote King'ongo na viunga vyake na maeneo ya jirani ya Kimara B na Mtaa wa Michungwani.
WhatsApp Image 2026-06-22 at 21.26.00.jpeg
WhatsApp Image 2026-06-22 at 21.25.59.jpeg
 
Wapo watu hawatendei haki nafasi zao, mpaka waone kwenye mtandao ndio wafanyie kazi?
 
Baada ya Mdau kuandika hoja hii ~ Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji ufafanuzi umetolewa na mamlaka husika.

UFAFANUZI WA DAWASA...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam kupitia Ofisi za DAWASA Ubungo imechukua jitihada za makusudi za kuboresha huduma maeneo ya King'ong'o katika Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam.

Maboresho hayo ni pamoja na Kuboresha matoleo yanayo pokea maji kutoka bomba ya 24" ili kuongeza msukumo katika maeneo tajwa.

Kazi hiyo inatarajiwa kukamilika siku ya Jumatano, Juni 24,2026, kazi hii itanufaisha upatikanaji wa maji maeneo yote King'ongo na viunga vyake na maeneo ya jirani ya Kimara B na Mtaa wa Michungwani.
June 24 ni kesho tupo hapa tunasubiri kwa hamu.
 
Back
Top Bottom