Responded DAWASA: Tunafuatilia kero ya maji kutiririka Gongolamboto

Responded DAWASA: Tunafuatilia kero ya maji kutiririka Gongolamboto

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252
Baada ya mdau kulalamikia tatizo la maji kutitirika katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeahidi kufuatilia suala hilo.

Soma pia: Gongo la Mboto karibu na Kituo cha Daladala cha Maliasili kuna tatizo la bomba la maji kuvuja sana:

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma, Everlasting Lyaro amesema atazungumza na wawakilishi wa Dawasa waliopo Ukonga kufuatilia kero hiyo.

Soma pia: DAWASA warekebisha bomba karibu na Kituo cha Daladala Gongo la Mboto lililovuja zaidi ya miezi miwili
 
Back
Top Bottom