DAWASA: Ujenzi wa Barabara na Maji kutokutoka Muda mrefu, Chanzo cha maji kutoka na Vumbi

DAWASA: Ujenzi wa Barabara na Maji kutokutoka Muda mrefu, Chanzo cha maji kutoka na Vumbi

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imechukua hatua za haraka kuboresha hali ya kihuduma katika baadhi ya maeneo kufuatia taarifa za uwepo wa Maji yenye muonekano wenye vumbi.

Mamlaka imebaini kuwa hali hii imesababishwa na mambo kadhaa ikiwemo:

1. Miundombinu ya Maji kukosa huduma kwa muda mrefu.

2. Baadhi ya maeneo mabomba ya Maji kuharibika kutokana na maboresho ya miundombinu ya Barabara.

DAWASA imeboresha hali hiyo katika maeneo yaliyotolewa taarifa na sasa yanapata huduma ya Majisafi na Salama.

Endapo bado kuna maeneo yanapata changamoto hii tafadhali wasiliana nasi kupitia Kituo cha huduma kwa wateja 181 (Bure) au ujumbe mfupi kwenda 0735 202 121 (Whatsap Tu)

Imetolewa na

Kitengo cha Mawasiliano
IMG-20260104-WA0031.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom