ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hizo habari zimetapakaa kwenye vyombo vya habari na tovuti za serikali ni wewe tuu kuchungulia haihitaji Mapambano yeyoteKutuhabarisha kuhusu miradi mbalimbali nchini kupitia jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo habari zimetapakaa kwenye vyombo vya habari na tovuti za serikali ni wewe tuu kuchungulia haihitaji Mapambano yeyoteKutuhabarisha kuhusu miradi mbalimbali nchini kupitia jf
Samia au Serikali?🚮🚮
Mradi umeanza kujengwa mwaka juzi unaleta upuuzi wako saizi?
Samia ana maelfu ya miradi sio tuu ya kusema Bali ya kuonesha across sectors
Serikali ndio itagombea Urais? Samia.Samia au Serikali?
Huu uchawa mwaka huu utawapindisha kibyongo😃😀😆
Miradi ya Samia? Kwa ivo Samia asipokuwa Rais hiyo miradi itakufa?Serikali ndio itagombea Urais? Samia.
Uchawa ndio nini na Kwa nini tupinde?
Ndio inaweza Kufa,Iko wapi Bagamoyo Port?Miradi ya Samia? Kwa ivo Samia asipokuwa Rais hiyo miradi itakufa?
Uchawa ni tabia inayofuja utu wa mtu.
Kuna haja gani ya kuwa na Serikali kama Kila kitu kinaweza kufanywa na mtu mmoja?Ndio inaweza Kufa,Iko wapi Bagamoyo Port?
Hukuona miradi ya majengo ya serikali ilikufa awamu ya 5?
Hukuona programu ya Kilimo.kwanza ilikufa awamu ya 5?
Na hata Sasa Nina uhakika akitoka Samia wakaja wale watu wenu wa dini Ile sekta kibao zitakufa .
Sgr,bwawa la Nyerere,Kigongo busisi,Ununuzi wa ndege nk vilijadiliwa na kupangwa na Bunge lipi?Kuna haja gani ya kuwa na Serikali kama Kila kitu kinaweza kufanywa na mtu mmoja?
Hiyo miradi unayosema haikujadiliwa bungeni na kupangiwa bajeti? Nafasi ya wabunge kwenye hiyo miradi Iko wapi?
Hiyo miradi ilibuniwa na Samia?
Kwa ivo hakuna sababu ya kuwa na Bunge?Anaepanga vipaombele Vikuu hapa Tanzania ni Rais.
Kwanza hiyo sio kazi ya Bunge,inashangaza Hadi Leo hii hujui kazi ya Bunge.Kwa ivo hakuna sababu ya kuwa na Bunge?
Kwa ivo bungeni wakikataa kupitisha bajeti ya hiyo miradi itatekelezwa?Kwanza hiyo sio kazi ya Bunge,inashangaza Hadi Leo hii hujui kazi ya Bunge.
Wakikataa manake wanasema Bunge livunjike kabla ya tenure Yao,Wana hiyo jeuri?Kwa ivo bungeni wakikataa kupitisha bajeti ya hiyo miradi itatekelezwa?
Kwa ivo bunge letu ni chui wa karatasi mbele ya Rais?Wakikataa manake wanasema Bunge livunjike kabla ya tenure Yao,Wana hiyo jeuri?
Nani akatae wakati Mwenyekiti wake ndio ameleta Bajeti?
Sio kazi ya Bunge kufanya confrontation na Executive Bali kazi Yao ni kushauri,kusimamia na kutunga sheria ikiwemo sheria ya BajetiKwa ivo bunge letu ni chui wa karatasi mbele ya Rais?
Kumbe tuna bunge "rubber stamp" Kwa Kila matakwa ya Rais? Sasa ile miezi miwili wanayokaa kujadili bajeti kumbe ni maigizo tu😳
Kwa ivo ili kuepusha "confrontation" na Serikali bunge hupitisha kila kinacholetwa na Serikali?Sio kazi ya Bunge kufanya confrontation na Executive Bali kazi Yao ni kushauri,kusimamia na kutunga sheria ikiwemo sheria ya Bajeti
Kila kinacholetwa ndio nini? Kazi nzuri ya Samia ndio inaongeaKwa ivo ili kuepusha "confrontation" na Serikali bunge hupitisha kila kinacholetwa na Serikali?
Kumbe wabunge wa CCM wanamuogopa zaidi Mwenyekiti wao kuliko wananchi?
Ina maana mwenyekiti wa CCM akiwa na mawazo ya hovyo wabunge watayapitisha Kwa kuwa hawawezi kumbishia?
Kwa maelezo yako haya hakuna haja ya kuwa na Bunge.