DAWASA: Vituo rasmi vya kuchota maji kwa magari

DAWASA: Vituo rasmi vya kuchota maji kwa magari

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Kauli Mbiu: Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka

IMG-20221029-WA0016.jpg
 
Ukimwambia mtu aliyepo Bukoba kwamba kuna sehemu Tanzania hawana mvua, atakushangaa, kila baada ya siku moja inanyesha mvua ya kutosha
 
Baada ya mwaka wanatakiwa waje na strategy ya kuondoa migao ya maji. Ni aibu kwa shirika la maji kutoa matangazo ya migao. Wanaingiza fedha nyingi kwa resource wanayopata bure. Wawajibishwe wasipoondoa shida ya maji
 
Endeleeni kushikilia hapo hapo ili watanzania waendelee kujionea vile uongozi mbaya unaweza kuwa na madhara ya moja kwa moja kwenye maisha yao ya kila siku.

Viongozi wa Upinzani wanakula zao bata kwenye majumba yao.
 
KUNA WAKATI TULIONA HOJA ZAO, NI KELELE KWETU.
 
KUNA WAKATI TULIONA HOJA ZAO, NI KELELE KWETU.
na wakati mwingine tulisema tunawakomesha akina Mbowe. Huyo Mbowe hata kama maji yakikatwa kwake anaweza kuita gari ikamletea hata kutoka huko kwao Machame.
 
Back
Top Bottom