Kwa sasa maji hayana ratiba maalumu ila hapo mwanzo tuliaminishwa kuwa kwa sasa hapata kuwa na crises ya maji.
Maeneo mbalimbali ya Mbezi maji ni ya shida sana, Serikali iko kimyaa, kinachoshabgaza hivi serikali za mitaa kazi yake nini kama watu wanateseka na maji wiki 3 bila maji watu wamenyamaza, hii ni aibu sana.
Sababu ni nyingi mno, ukipiga DAWASA ila kama kuna shida si isemwe shida ni hii au watangaze, kukata maji kama hujalipia wanatangaza ila kukata maji hawatangazi. Kwa kweli hapa ndio mtu nahiji mikopo mikubwa kwenye nchi hii na utitiri wa makodi na tozo zinaenda wapi maana hali inazidi kuwa mbaya tu.
Kwa kweli kwa sasa maji Mbezi ni almasi, sijui kwingine ukitaka kwenda haja utajibana mpaka uone umekereka ndio unaenda, maana unafikiri maji ya choo yanatoka wapi?! Hii ni aibu kwa nchi hii, Miaka 61 ya Uhuru bado Dar maji hayapo na madeni lukuki, au labda wenzangu wenye mapana ya kufikiri mtufungue hivi nchi hii ninyi mnaielewa?