Mimi hawa siku hizi sina shida nao. Nilikuwa nina mita kila mwezi bill inakuja 60, 50 nikawalalamikia wakaja wakaibadili fasta wakaweka mpya, toka siku hiyo bill ilidrop ni 20, 18, 14.Nimefanya tathimini nikagundua hizi mita za maji hapa Dar ni majanga sana. Yaani hata ukiwa umesafiri bili inakuja ileile na mita inatembea.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye mita za maji jamaa wanatupiga. Wanatuumiza sana jamani was galleries tena ufanisi wa mita zao.
Meter za Dawasa ziko vizuri,Funga gate valve unaposafiri!Nimefanya tathimini nikagundua hizi mita za maji hapa Dar ni majanga sana. Yaani hata ukiwa umesafiri bili inakuja ileile na mita inatembea.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye mita za maji jamaa wanatupiga. Wanatuumiza sana jamani was galleries tena ufanisi wa mita zao.
Yes1. Kiuhalisia ukiona mabadiliko ya bili, chunguza huenda kuna mahali maji yanavuja (leakage)
2. Gharama ya unit naona wameongeza bei kidogo
Hamna cha leakage wala nini, nyumbani kwetu tulitafuta hiyo leakage hadi basi1. Kiuhalisia ukiona mabadiliko ya bili, chunguza huenda kuna mahali maji yanavuja (leakage)
2. Gharama ya unit naona wameongeza bei kidogo
Hamna leakage, nilishafanya utafiti sana, tatizo ni mitaYes
Leakage kwenye Miundo mbinu hasahasa ya ndani