Mkipigiwa simu kuambiwa Bomba lenu limepasuka mtaa Fulani hamji mnabaki kusema mpigie huyu mara mpigie huyu utafikiri vocha mnatuchangia ila mkipigiwa simu za wizi wa maji hammalizi hata dakika 10 mnafika na vibajaji vyenu
Mimi kiukweli siwezi kumchoma mwizi anaeiba maji maana maji ni uhai siwezi kuacha afe wakati nyie huko ofisini mnapiga Hela tu tena za faini zisizonakichwa